Lady Jay dee baada ya kupokea tuzo, asema narudi kimya kimya

Lady Jay dee baada ya kupokea tuzo, asema narudi kimya kimya

Katika post yake facebook, baada ya kutoka kupokea tuzo Lady Jaydee kawashukuru mashabiki wake, lakini cha kushangaza kasema anakuja kimyakimya.

Namquote "shhhhhhh, nakuja kimyakimya" huu ni wivu wa wazi kwa kuwa platinum katangaza kupokelewa na mashabiki wake! infact anachokifanya Platinum ni kujaribu kuwa karibu na mashabiki wake.

Musics is entertainment kama football na michezo mingine so mhusika akifanikiwa ni faragha akishangilia na mashabiki wake! hata arsenal waliposhinda fa cup walitembea mtaani London kote na mshabiki wao.

What Diamond is doing is what akina Usain Bolt hufanya wakirudi Jamaica! infact Diamond sasa ni level nyingine huwezi mlinganisha na Jaydee tena! big up Diamond.

Nawashauri wasanii wakongwe waache kumchukia diamond coz kaleta mapinduzi kwenye music! mbona Profesa Jay kaligundua hilo kafanya nae collabo na wimbo una hit kila kona.

Haya mahaba yenu haya mmh,ndio nyie huwa mnajikuta mmeshavua chu.pi mnakatika .
 
hivi huyu JD mmama mtu mzima akianza kurushiana madongo na diamond si aibu hizi? jide punguza frustration kila mtu akiamua kuhamishia yake kwa wengine hapatatosha hapa duniani
 
diamond hajapokelewa na wAtu kwa hiari,bali wale watu waliandaliwa kama ccm wanavyoandaa watu kwenye mikutano yao ya siasa..
 
Jide wivu umemjaa hana lolote wacha wadogo zake wampiku
 
Back
Top Bottom