warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Exactly,jide hapaswi kujibishana mitandaoni,huo ni uswahili,angekaa kimya,I don't see a point there,kama ni uongo things will tell very soon,na kama ni ukweli,things will tell,she shouldn't justfy herself
Muacheni jamani, hatak mazoea ya kipuuzi na magazeti ya udaku, yeye hataki kuandikwa kwa mambo ya kipuuzi na ya kijinga, kwani jide hajawah hata siku moja kuandikwa kwa mambo ya kipuuzi ndio maana kawachana ili wasimzoee, yeye umaarufu wa magazet hawamsaidii kitu yupo kikaz zaid