Exactly,jide hapaswi kujibishana mitandaoni,huo ni uswahili,angekaa kimya,I don't see a point there,kama ni uongo things will tell very soon,na kama ni ukweli,things will tell,she shouldn't justfy herself
Sometimes you have to respond to the negative publicity. You have to inform the neutrals the correct side of the story. If you keep silent, you are losing the neutrals because they gonnna believe the cooked story. Putting the records rights shouldn't be interpreted as makina a dialogue.Exactly,jide hapaswi kujibishana mitandaoni,huo ni uswahili,angekaa kimya,I don't see a point there,kama ni uongo things will tell very soon,na kama ni ukweli,things will tell,she shouldn't justfy herself
Jide kitakachompoteza ni kiburi na hataki kujishusha siku zote anataka kuwa juu, hajui kusamehe na kutafuta suluhu na watu anaokorofishana nao.
Pesa zipo kwa nini asiwe na kibur? Hategemei buzi anatafuta mwenyew , hata ingekuwa wewe lazima uwe na kibur, gar lake lenyew matusi tosha, sasa nini kingine, watu watapiga kelele ila hawampat ana mkwanja wa haja yule, ata gadner akisepa bado she can handle her life
Binamu naongelea kimuziki atateteleka sababu ana hasira na hajui kudharau jambo, Gadner akisepa lazima atayumba sana sababu Gadna anamsaidia sana kumjengea mahusiano mazuri na jamii/mashabiki/vyombo vya habari kitu ambacho Jide hawezi sababu ya tabia yake. Hata hivyo pesa sio kigezo cha kuwa na kiburi.

Jide ndio msanii wa kike pekee anayekubalika zaidi apa nchini
Ndio hata mi namkubali,ila akiendelea hivyo kila kukicha anaongeza maadui watu wamchoka. ,mfano mdogo kwanini alimtukana mwanafa kumwita mwanafatuma kisa tu kakubali kupiga show ya Clouds siku moja na yeye, hapo ndipo nilipoanza kumshusha Jide.
Bado sijaona mantiki ya kumshusha jide labda kama una yako, ivi jide ndiye msanii pekee kugombana apa bongo? Tena bora yeye beef zake za biashara sio hao wengine kutwa kugombea wanaume/wanawake
I will still respect her na kumkubal kwa kuwa anajielewa sana yule kuliko wasanii wote apa bongo,
Jide asigombane na media akiwa km Judith Wambura, agombane akiwa km Lady Jaydee, vyombo vya habari ndivyo vilivyomfikisha hapo alipo, nani angemjua km sio media? Asitegemee mitandao ya kijamii ndio itangaze sanaa yake, au ameridhika kwakuwa anaendesha Range Rover Evoque? Ile ni depreciatable asset.. Akae na vyombo vya habari waone ni wapi Jide anakosea, na media pia wanakosea wapi! Akikaa kimya wataendelea kuandika Yale asiyotaka yaandikwe maana yay no msanii

Ingekuwa media zinafanya mtu awe maarufu bhas wasanii wengi wangekuwa mastaa, mi nadhani pia uwezo mzur wa jide kushirikiana na vyombo vya habar vimemfanya jide awe apo alipo, zaidi ni juhudi zake binafsi
Kama ustaa wa kuandikwa na media ungekuwa pesa basi wema angekuwa milionea, jide is hardworking na anajielewa, she does nt entertaib upuuzi wa magazet ya kijinga ambayo hayamsaidii chochote
Umeongea point,namimi hapo ndio natofautiana na Warumi, Jide akubali/hakatae media ndio zimembeba hasa hao Clouds toka akiwa mfanyakazi wa Clouds, ajifunze kukaa chini na media. Sasa anasema Global walimuomba msamaha akakataa anaona ni sifa, sio sifa zaidi anaonyesha ni mtu wa aina gani hasiyejua kusamehe.
Media+juhudi binafsi=umaarufu na pesa
Media zipo kwa ajili ya wasanii, wasanii wapo kwa ajili ya media....hawa watu wawili wanategemeana kwa kiasi kikubwa sn... Mfano wasanii Wote wa Tanzania wakisema hawataki kazi zao zitumike kwa namna yyt na media za Tz, bila shaka wengi watakosa cha kuandika au kutangaza na kupelekea kukosa wasikilizaji na wasomaji wa magazeti yao. Pia vyombo vya habari Wote Tz wakisema wasiandike au kutangaza kazi za wasanii Wote wa Tz, sisi audience tutajuaje nani kafanya nini? Nani an agenda kupiga show wapi!
Umeongea point,namimi hapo ndio natofautiana na Warumi, Jide akubali/hakatae media ndio zimembeba hasa hao Clouds toka akiwa mfanyakazi wa Clouds, ajifunze kukaa chini na media. Sasa anasema Global walimuomba msamaha akakataa anaona ni sifa, sio sifa zaidi anaonyesha ni mtu wa aina gani hasiyejua kusamehe.
Uko true wangu, kabisa ila ukisema kuhusu kubebwa na clouds kwa kiwango hicho nakataa, naomba nikuulize kitu binamu? Ivi jide ndio msanii pekee kubebwa na clouds? Kama clouds inawafanya wasanii wanaowabeba wawe mastaa/mafanikio kama jide basi tasnia ya bongo fleva ingekuwa mbali sana binamu kimuziki
Jide ka play role kubwa sana yeye mwenyew ku maintain ustaa na hadhi yake kwenye jamii, ray c mpaka leo anapewa support na clouds je yupo wapi??
Ni miaka mingapi jide kaachana na clouds? Je aliteteleka kimuziki/mafanikio?, ndo kwanza bibie anazid kununua mikoko ya bei mbaya na kuishi maisha yenye hadhi ya kistaa, nadhani ndiye msanii pekee mwenye uwezo kifedha apa bongo, JE? WASANII WOTE WALIOBEBWA NA CLOUDS NI WANGAPI WAMEFANIKIWA KAMA JIDE?, ukinipa jibu apa binamu nitashukur sana
hv bila clouz na global publisher mtu huwez kutoka kisanii,yn mtu anyenyekee ht kama ananyonywa kwenye kz zake akae kimya ht anaandikwa vby,kumbukeni sio cc tu tunaomsoma mjue ana familia yake na jamii inayomheshimu kwnn akae kimya na huku utu wake unachafuliwa.