nakubaliana nawe,jide hits zake zinaishia kimara mwisho.....huwez mfananisha na mtu kama Juliana Kanyomozi wa Uganda..sijajua wametumia vigezo gani labda mnipe list y anominee aliochuana nao ....sitaki kuamini jide ni bora..nyimbo zake ni bigijii mnooooooooo