Lady Jay Dee is the best female artist in the whole of East Africa

Lady Jay Dee is the best female artist in the whole of East Africa

1, Usiusemee Moyo.
2, Siri Yangu.
3, Mwanionaje.
4, Mawazo.
5, Wanaume Kama Mabinti.
6, Boyfriend wa D'salaam.
7, Kifo.
8, Binti.

Lazima Ukae ...Shikamoo JD !

1.mawazo
2.wangu
3.wanaume km mabinti
3.nuru
4.Faraja
5.siku hazigandi
6.distance
 
Sio kweli yule bibi anatoa nyimbo nyingi sana lakini zinazohiti ni chache mno! Pia Yupo tayari hata kumnanga mumewe ili mradi tu a hit!..usibishe!

nakubaliana nawe,jide hits zake zinaishia kimara mwisho.....huwez mfananisha na mtu kama Juliana Kanyomozi wa Uganda..sijajua wametumia vigezo gani labda mnipe list y anominee aliochuana nao ....sitaki kuamini jide ni bora..nyimbo zake ni bigijii mnooooooooo
 
I wish to hear jide collaborate with juliana kanyomozi or wahu if not both, one day
 
Back
Top Bottom