Lady Jay Dee is the best female artist in the whole of East Africa

Lady Jay Dee is the best female artist in the whole of East Africa

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
So it took nigerians kutambua kipaji na jitihada za huyu dada anayefanya mziki nyumbani sio tu Tz but whole of east africa?Tangu nakua mpaka sasa hivi Jd hakuwai shuka..ni kati ya wasanii wachache ambao wamemantain..anakaa kimya akitoka na kitu kinakuwa Hit!

She doesn't need scandals or beef or lies to be on top just her beautiful vocals...haya hapa simsemi mtu nazungumzia tu kwamba kama unajua unajua tu..no matter the majungu watu wanaojua mziki wataona tu..haya from mambo ya pesa to Historia Jd u still making hits after hits..its 2014 and am still listening to Ur songs wow and not just ur classics ur current.Leo I salute u!
 
So it took nigerians kutambua kipaji na jitihada za huyu dada anayefanya mziki nyumbani sio tu Tz but whole of east africa?Tangu nakua mpaka sasa hivi Jd hakuwai shuka..ni kati ya wasanii wachache ambao wamemantain..anakaa kimya akitoka na kitu kinakuwa Hit!she doesn't need scandals or beef or lies to be on top just her beautiful vocals...haya hapa simsemi mtu nazungumzia tu kwamba kama unajua unajua tu..no matter the majungu watu wanaojua mziki wataona tu..haya from mambo ya pesa to Historia Jd u still making hits after hits..its 2014 and am still listening to Ur songs wow and not just ur classics ur current.Leo I salute u!🙌🙌✌✌👏🙌

Sio kweli yule bibi anatoa nyimbo nyingi sana lakini zinazohiti ni chache mno! Pia Yupo tayari hata kumnanga mumewe ili mradi tu a hit!..usibishe!
 
Huyu jd toka wakati huo nampa mimba mama watoto sijamuoa anavuma mpaka namuoa na tena mtoto wangu sasa hivi anaimba nyimbo za jide kama Yayha bado anavuma.Hongera zake.
 
Hakuna msanii wa kike ninayemkubali kama Jide! Toka kitambo mpaka leo hii bado tu amesimama imara.
 
Huyu jd toka wakati huo nampa mimba mama watoto sijamuoa anavuma mpaka namuoa na tena mtoto wangu sasa hivi anaimba nyimbo za jide kama Yayha bado anavuma.Hongera zake.
Sema wewe hajahahahahahh umenichekesha
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Sio kweli yule bibi anatoa nyimbo nyingi sana lakini zinazohiti ni chache mno! Pia Yupo tayari hata kumnanga mumewe ili mradi tu a hit!..usibishe![/QUOTE
Heb na ww tuambie bibi unaemjua east afrika anaeng'aa kama jd ametoa nymbo nyng na zote zika hit
 
tisha sana
namngoja na huyu wa kiume je ataweza kukaa mda mrefu kwenye game kama huyu dada
 
Sio kweli yule bibi anatoa nyimbo nyingi sana lakini zinazohiti ni chache mno! Pia Yupo tayari hata kumnanga mumewe ili mradi tu a hit!..usibishe![/QUOTE
Heb na ww tuambie bibi unaemjua east afrika anaeng'aa kama jd ametoa nymbo nyng na zote zika hit
Hahahahahaha umempatia.👏👏👏👏.umempa makavu organic kabisa..hatuambie nani anayehit kwa kumnanga hata mumewe watu wivu sana..
 
Back
Top Bottom