Lady Jay Dee: Mimi ni Team Kiba

Lady Jay Dee: Mimi ni Team Kiba

Magnesium

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2014
Posts
317
Reaction score
185
Kutoka kwenye Account ya Instagram, Mwanadada Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee (Komando Jide) ameamua kutangaza rasmi yeye ni shabiki wa msanii Ali Kiba. Hii inakuja mara baada ya Ali Kiba kumsupport Jide jana usiku katika show yake bila masharti yeyote huku Ali Kiba akipata shangwe kali kutoka kwa mashabiki.. Lady jay Dee kaandika hivi:

..Mdogo wangu Ali Kiba
Natoa shukrani zangu za pekee kwako
Asante kwa kuteka show������������
Sina cha kuelezea
Halikuwa funiko lile, bali
Labda niseme lilikuwa ni Zege
Unajua nini maana ya Shukrani ������������
Sijawahi kukutendea makubwa ya ajabu
Ila tendo la kuamua ku support ur sister
Bila kuniwekea masharti
Ni upendo tosha ������������
Inatosha ❤❤❤❤❤
Wengi wanaogopa
Ila umesimama
Na kuona umuhimu wangu kwako.
Katika kipindi kigumu nilichopo. ������������������������ I will forever love you
Keep the fire burning. ����������������
Nilikuwa
Na nitaendelea kuwa ✔✔✔✔✔✔✔
Natangaza rasmi kuwa
Mimi ni #TeamKiba
Now & Forever ��������������
Kama wewe ni TeamJide �� �� na bado hujawa', �� �� badi usisite kuwa Team Kiba
Oyoooooooooo ......
#FunikaMbaya
Next tukafanyie uwanjani sio ishu..

 
Naona uelekeo wa bifu jide na ruge kuisha soon. Wapi chige Matola Don Corleone warumi
Jide mjanja, ameshaona kujiweka kwenye mabifu kunalipa hasa kama mwenyewe umesanda! Mwaka jana ile cjui mwaka juzi, akiwa kati kati ya bifu na Mwana-FA na Clouds, akajiegemeza kwa Sugu... kwa mara ya kwanza katika historia ya muziki wa Tanzania, Jide akawa anaitwa Kamanda... wenye akili zao wakajiuliza, huu ukamanda wa Jide umeanza lini... lakini kila mmoja anafahamu ile kujiegemeza na Sugu ili-boost sana show yake!!!

Hivi sasa, Jide anafahamu fika kwamba ni wasanii wawili ambao wana mashabiki wa kutosha kwahiyo anajua fika kwamba akijiegemeza kwa Kiba, atapata mashabiki wa kutosha kutoka kwa Kiba!

Lakini kama alivyosema eselungwi, kwa msanii mkubwa kama Jide, ingawaje ana haki hiyo lakini hakutakiwa kuonesha kuwa upande fulani coz' yeye ni icon ya muziki wa Tanzania! Mwana-FA alipomshirikisha Kiba kwenye wimbo wake, kuna mwandishi mmoja alimuuliza swali la uchokozi but the guy was too smart alipojibu lile swali ambalo am sure mwandishi hakupenda jibu la mwana-FA coz' wengi wao wanauliza maswali ya kuchochea zaidi kama ambavyo Sam Misago alipowahi kumuuliza Shetta ikiwa ana mpango wa kufanya kazi na Ali Kiba! Hili lilikuwa ni swali la uchochezi coz' Misago anafahamu fika kwamba Shetta yupo karibu na Diamond! Profesa J vilevile alipomshirikisha Diamond, nae aliulizwa swali la uchochezi, lakini utu uzima nao dawa, Profesa akajibu kibusara ya kutotaka kuonesha ana-support upande wowote.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha wapi nifah na warumi?

Kaa mbali na hii thread Dinazarde
Ah, wapi! Kisa Jide kasema yupo Team Kiba? Huyo Mond mwenyewe sidhani kama ana mpango wa kufanya kazi na Jide manake mawazo yake yooooooooote, yame-focus wasanii wakubwa wa West Afrika kwa sababu anafahamu West Afrika ndiko kwenye biashara ya muziki kwa Afrika hii!!! Jide awe Team Kiba, Team Davido au Team yoyote ile, haina effect kwa Diamond hata kidogo!!! Kwanza kwa hili atakayeneemeka sio Ali Kiba bali Jide mwenyewe... in short, anataka kumtumia Ali Kiba kwa kuwa anafahamu Kiba ana mashabiki wa kutosha, sema tu sumu yao ukiwarushia buku 2 mbili!!! Sema hapa nimemchokoza Jide, mpwa warumi lazima anitoe macho!

We warumi wewe, mi nakuambia sasa hivi, leo nipo kwenye Sabato kwahiyo sitaki ugomvi!
 
Kanuna Davido na bado watu wakaenda kupiga show nchini mwake itakuja kuwa hawa wengine... tena show zote ni show classic na sio show za kwenye mavumbi!!!

Ndio tushangaeee wamenuna hawaitwagi kwenye tuzo na daimond anavyojua kunifurahisha sasa wala hanaga habareeee hii nyimbo mpya dawa yao toshaaa,kwanza jide angefanya tu biashara mziki ushamshindaa anaimba hovyonhovyo tu haelewekiii
 
Back
Top Bottom