Lady Jay Dee: Mimi ni Team Kiba

Lady Jay Dee: Mimi ni Team Kiba

Jide namkubali sana ila siku hizi ameanza kunitoka amekuwaje sijui. Yeye ndio dada wa bongofleva kwa hio angeenda Diamond kuimba kwake angekuwa team diamond c ndio.

Amekuwa kama faiza wa sugu akili zake sijui nae anamiss sex.
 
Lengo lako nikutukane halafu waniban... Ngoja nije Pm kei ww

Hta ukinitukana we maza wa kambo hamna tusi geni kwangu...hivi bmkubwa hiyo roho mbaya yako itaisha lini..me nahisi pindi unakuja duniani uliramba kinyesi au bmkubwa ako alikuwa anapga sana viroba pindi anabendi yako...maana roho mbaya kwako imezd aseee khaaaa!!
 
Roho mbaya si anayo mama yako aliyekutapika badala ya kukuzaa
 
Anatiisha huruma Jide kwa hayo maneno sikujua yupo chini hivyo...

Ni vizuri akae chini afikirie then ajaribu bila kusahau kumuomba Mungu.

Naamini mtu kama una mashabiki utakuwa nao tu hata uwe na mziki mbaya fans wa ukweliii huwa hawakimbiiii

Wajijengee majina na sio kutegemea kushangiliwa stejini ndio mwendo kuna mapana ya kufanya pia
 
Roho mbaya si anayo mama yako aliyekutapika badala ya kukuzaa

Kiukweli we monkey unaroho ya tofauti na monkeys wengine ninaowajua hili jukwaa.....cjui nyongo yako ilishapasukia ndan kwa ndani...!yaan unataka kila ki2 afanyiwe diamond tu!yaan na kw bamdogo ungekuwa unafanyaga hv..nadhan hta angenenepa....
 
Kutoka kwenye Account ya Instagram, Mwanadada Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee (Komando Jide) ameamua kutangaza rasmi yeye ni shabiki wa msanii Ali Kiba. Hii inakuja mara baada ya Ali Kiba kumsupport Jide jana usiku katika show yake bila masharti yeyote huku Ali Kiba akipata shangwe kali kutoka kwa mashabiki.. Lady jay Dee kaandika hivi:

..Mdogo wangu Ali Kiba
Natoa shukrani zangu za pekee kwako
Asante kwa kuteka show������������
Sina cha kuelezea
Halikuwa funiko lile, bali
Labda niseme lilikuwa ni Zege
Unajua nini maana ya Shukrani ������������
Sijawahi kukutendea makubwa ya ajabu
Ila tendo la kuamua ku support ur sister
Bila kuniwekea masharti
Ni upendo tosha ������������
Inatosha ❤❤❤❤❤
Wengi wanaogopa
Ila umesimama
Na kuona umuhimu wangu kwako.
Katika kipindi kigumu nilichopo. ������������������������ I will forever love you
Keep the fire burning. ����������������
Nilikuwa
Na nitaendelea kuwa ✔✔✔✔✔✔✔
Natangaza rasmi kuwa
Mimi ni #TeamKiba
Now & Forever ��������������
Kama wewe ni TeamJide �� �� na bado hujawa', �� �� badi usisite kuwa Team Kiba
Oyoooooooooo ......
#FunikaMbaya
Next tukafanyie uwanjani sio ishu..

huyu yeye kila msanii ni mdogo wake...
inaelekea ule umri aliotajiwa kipindi kile na kisha akapanic mpaka povu likamchuruzika basi ni wa kweli...
 
Hta ukinitukana we maza wa kambo hamna tusi geni kwangu...hivi bmkubwa hiyo roho mbaya yako itaisha lini..me nahisi pindi unakuja duniani uliramba kinyesi au bmkubwa ako alikuwa anapga sana viroba pindi anabendi yako...maana roho mbaya kwako imezd aseee khaaaa!!

hah hah haj mpe mpe huyoooo...
 
Kiukweli we monkey unaroho ya tofauti na monkeys wengine ninaowajua hili jukwaa.....cjui nyongo yako ilishapasukia ndan kwa ndani...!yaan unataka kila ki2 afanyiwe diamond tu!yaan na kw bamdogo ungekuwa unafanyaga hv..nadhan hta angenenepa....

kwi kwi kwi kwiiii mpe huyo...
kumbe kwa babake mdogo kimyaaa...hah hah hah
 
Back
Top Bottom