ugua pole komandoo machozi
wewe akili yako sijui ya wapi wewe unafikiri hawana pesa za kwenda hospitali ya nchi yeyote duniani?? wanazo ila wakienda hizo nchi wananchi mnaanza kulalamika ooooh wanaenda kutibiwa marekani mara oooh wanaenda kutibiwa uingereza ndio maana wanaenda nchi za ajabu ajabu kuondoa mzizi wa fitinaApone mapema bidada. Kweli siasa si mali kitu, wanasiasa wanakwenda kutibiwa india...mjasiriamali Europe!!
huyu naye anatumia nguvu kweli kupata mimba sijui ana tatizo gani..vitoto vya tandale asubui mko gesti jioni tayari kinatema mate yanaishia kifuani kitu munyavuu