Lady Jay Dee, mwanadada komandoo alazwa Paris Ufaransa

Lady Jay Dee, mwanadada komandoo alazwa Paris Ufaransa

Pole yake!
hivi hiko amekalia ni sofa au ndo kitanda cha kubembea bembea! nataka nimuagize aniletee pia make mi penda yeye
DSC00540.JPG
 
Watu wengine bwana....sasa kinawauma nini kama katibiwa Ufaransa??
Pesa yake hajachangisha wala hujamkopesha kwanini inakusumbua???
Na wewe tafuta next time ukipata mafua upae mpaka Uswiss.
 
Chonde chondee, mimba noumaaaaaaaaaaaaaaa
 
huyu naye anatumia nguvu kweli kupata mimba sijui ana tatizo gani..vitoto vya tandale asubui mko gesti jioni tayari kinatema mate yanaishia kifuani kitu munyavuu
 
Jide usikate tamaa...pambana na maisha yako na malengo yako,achana na wachonga midomo
 
du kumbe ndo mana kuna watu hataki tena kuingia kwenye forum.baadhi ya watz tuna wivu na roho mbaya tena hazifichiki soma jicho 3 na mwita God forbid hujafa hujaumbika bandugu zangu
 
Apone mapema bidada. Kweli siasa si mali kitu, wanasiasa wanakwenda kutibiwa india...mjasiriamali Europe!!
wewe akili yako sijui ya wapi wewe unafikiri hawana pesa za kwenda hospitali ya nchi yeyote duniani?? wanazo ila wakienda hizo nchi wananchi mnaanza kulalamika ooooh wanaenda kutibiwa marekani mara oooh wanaenda kutibiwa uingereza ndio maana wanaenda nchi za ajabu ajabu kuondoa mzizi wa fitina
ila jua kwamba kuna makatibu wa serikali ambao sio public figure wanaenda uingereza, france, german kutibiwa hawa ma public figure ndio wanapelekwa india akili ku kichwa mkuu
 
Nadhani ameenda kupumzika tu huko, sio kuwa alienda kwa ajili ya kuumwa. Kila la heri dadaaaaaaa Mungu akujalie.
 
Hata Magufuli alikataa kwenda India akaenda ujerumani wakati ule alipougua baada ya kuukosa uwaziri Mkuu!!
 
Achani ukuda, amlali mnachonga tu.hana mtoto hana mtoto leo anataka kujifungua mnachonga tena du binadamu kaz
 
huyu naye anatumia nguvu kweli kupata mimba sijui ana tatizo gani..vitoto vya tandale asubui mko gesti jioni tayari kinatema mate yanaishia kifuani kitu munyavuu

Mungu akusamehe,ungekuwa umeolewa muda na hauna dalili ungelia sana na ungefanya chochote kupata ndio maana watu huiba watoto,a baby means the world to a lady,pole zake,
 
Get well soon many of us are praying that you continue to pave way for women artists. Mambo yote yanawezekana. Ukipata tu endelea kuwachanganya wenye wivu.
 
Back
Top Bottom