Lady jay dee sasa amsamehe rasmi ruge na wenzie

Jay dee matatizo yake yanatokana na mgando wa maisha wa kuiba mume na kutokuwa na mtoto
 
Mtu anaeita waganga nyumbani kwake wamtoa majini mahaba unategemea atayasadiki hayo uliomwandikia toka ktk Bible?
 
Msameheni tu huyu mdada ana stress sana, kwanza laana ya kuiba mme wa mtu bado inamtafuna na bado stress za kuolewa miaka kumi bila mtoto.

Muombeeni tu...anayoyapitia anayajua mwenyewe.
 
Msameheni tu huyu mdada ana stress sana, kwanza laana ya kuiba mme wa mtu bado inamtafuna na bado stress za kuolewa miaka kumi bila mtoto.

Muombeeni tu...anayoyapitia anayajua mwenyewe.
ngoja tuendelee kuomba
 
Komando jide, anaconda wenzenu wanamuogopa na mahakamani wamempeleka wengine wanabwabwaja kwenye keyboard.long live jide
 
Msameheni tu huyu mdada ana stress sana, kwanza laana ya kuiba mme wa mtu bado inamtafuna na bado stress za kuolewa miaka kumi bila mtoto.

Muombeeni tu...anayoyapitia anayajua mwenyewe.
Mwacheni Anaconda afanye sanaa ya muziki hao akina Ruge wezi tu wao ndo wanastress, wanategemea kunyonya wasanii we undhani wasanii wengi wakikataa kudhaminiwa na prime promotion Ruge atasimama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…