Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelezo yake yana ukakasi mwingi...Bible takatifu inatuambia tusamehe na kusahau...Jide ni opportunisty na very professional in seeking public symphasy..!na shida yakenyingine kubwa ni kuwa anafikiri anajua kila kitu....au pengine ni ule urefu wake kwenda Chini maana watu wa aina yake wana makeke kweli kweeli
Wapelekee wadaku wenzako kna Zamaradi watoe. Maoni.
Mwacheni Anaconda afanye sanaa ya muziki hao akina Ruge wezi tu wao ndo wanastress, wanategemea kunyonya wasanii we undhani wasanii wengi wakikataa kudhaminiwa na prime promotion Ruge atasimama?Msameheni tu huyu mdada ana stress sana, kwanza laana ya kuiba mme wa mtu bado inamtafuna na bado stress za kuolewa miaka kumi bila mtoto.
Muombeeni tu...anayoyapitia anayajua mwenyewe.