Lady Jay Dee walikutenda nini wanaume mpaka ukawa hivi?

Ruge hawezi kuwa Yahaya kwakuwa Ruge mpaka anakufa he was the richest man
 
Ruge hawezi kuwa Yahaya kwakuwa Ruge mpaka anakufa he was the richest man
Sawa sikatai ila mfumo wa maisha yake ilitosha kabisa kuitwa Yahya kwani hakuwahi kuishi na familia ya mke na mume na watoto ndiyo maana Komando alimtungia wimbo wa Yahya ingawa Jaydee alipoohojiwa alisema idea ya wimbo huo alichukua kwenye wimbo wa Kalubandika
 
kuna ndugu yangu kibosile aliwahi ku date naye kwa siri anasema jide ana gubu na amri. kiufupi mtata mtata.
Anaonekana tu, kuna dada mmoja ni mtu wangu wa karibu yupo km jide full amri na kupelekesha mume, na sura ni ya kiume hivyo hivyo, mumewe mzuri km demu ana hadi hips πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…