Haha, kichuri na hasira ni kama chupi na mapaja mkuu, huwezi zitenganisha.Ndo maana Uncle G alisema kuwa alimkojoza sana 😃
Ndio ivyoo..Ni kweli kabsa 😊 hili kabila sijui huwa linaona nice guys ni wanawake ila ukiwa mbabe na mgomvi sana ndo wanaona ni mapenzi
Sana, akumbuke wenzake wanapigwa bao moja la counterattack na gemu inaishia hapo hapo.Ila ana bahati sana kama alipata mtu wa kumkojoza 😃
Kumkojojoza mtu ni kazi, tena isiyo na mshahara.Hapo ndo kiburi inaingia radar 😃
Sana, alijua Sana kuifumania G spot hata matokeo mazuri yakapatikana.Kongole nyingi kwa Uncle G
Sasa hii kitaalamu ndo inaitwa shoka liliungua lakini mpini ulibaki.Ila tu hakumzalia mtoto aisee 😔 jamaa na ufundi wote
Pamoja na pilipili kichaa.Kongoro lahitaji limao
Watu tunataka Iyo Pride, Unamkula Uku una Imagine ukubwa wa Jina lake it's fantasy mzeeAnna ni master kwanza alizaa na wanaume wawili na akawafanya wawe washkaji Uncle Ben akampa Mramba uwaziri wa fedha na jamaa alikuwa na kiburi balaa. Hakunaga wanawake wa maana tunawakalia kimya tu.
Huyo Jide nae analikaga kirahisi hamjui tu, we jifanye mtu wa kutulia pendelea kukaa pale Nyumbani lounge ukiweza kumpa wine zake kila siku ukikaa kimkakati unajilia tu sema amekauka sana halafu kabaya inahitaji utumiejina lake tu kwamba umekula jina la msanii.
Tupe maelezo zaidi mkuu… kivipi?! 😃Ile dinner haikufanya chochote zaidi ya kumtibua zaidi Mheshimiwa FA