MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Hiyo namba moja alinisema mpaka nikasema siku tukionana lazima nimuoe maana nahisi hana mmeHuyu Mwanamke sijui wanaume tulimkoseaga nini? Sijui Marehemu Gadner alimfanya kitu gani bibiye? Ama wajomba wengine walimfanyia mambo yapi kiasi kwamba kila chuma lazma avunje yai viza kwa wanaume. Yaaani nyimbo zake ni za kuwasema wanaume haswa;
View attachment 3284039
1. Yahaya
2. Siwema
3. Usiusemee Moyo
4. I Dont Care
5. Siri Yangu
6. Machozi Ya Furaha
7. Wanaume Kama Mabinti
8. Umuhimu Wako
9. Understanding
10. Faraja
11. Pumziko
12. Usikatae
13. Machozi
14. Nimekusamehe
15. I Love Myself
16. Mawazo
17. Siwema usinipe mateso ya moyo
View attachment 3284039
Na nyingine nyingi ambazo nimezisahau hivi wanaume tulimkosea nini huyu bi mkubwa โ๏ธ
Aendelee kuwaongelea tu maana "Mudomo" ni mali yake na kila akiuza hayo maneno/muziki serikali inapata kodi.Huyu Mwanamke sijui wanaume tulimkoseaga nini? Sijui Marehemu Gadner alimfanya kitu gani bibiye? Ama wajomba wengine walimfanyia mambo yapi kiasi kwamba kila chuma lazma avunje yai viza kwa wanaume. Yaaani nyimbo zake ni za kuwasema wanaume haswa;
View attachment 3284039
1. Yahaya
2. Siwema
3. Usiusemee Moyo
4. I Dont Care
5. Siri Yangu
6. Machozi Ya Furaha
7. Wanaume Kama Mabinti
8. Umuhimu Wako
9. Understanding
10. Faraja
11. Pumziko
12. Usikatae
13. Machozi
14. Nimekusamehe
15. I Love Myself
16. Mawazo
17. Siwema usinipe mateso ya moyo
View attachment 3284039
Na nyingine nyingi ambazo nimezisahau hivi wanaume tulimkosea nini huyu bi mkubwa โ๏ธ
oya weweee ๐คฃ๐คฃ๐คฃAnaonekana tu, kuna dada mmoja ni mtu wangu wa karibu yupo km jide full amri na kupelekesha mume, na sura ni ya kiume hivyo hivyo, mumewe mzuri km demu ana hadi hips ๐
Kwahiyo, wewe unaona uwepo wa hao uliwataja ndo unahalalisha Judith Wambura kuimba nyimbo za kuwasema wanaume??Hivi ni kwamba hakuna wasanii wa kiume, wanaoimba nyimbo za kuwatukana na kuwadhalilisha wanawake, au hao ndio wanaonekana wako sawa vichwani mwao
Hapana hoja yangu ni kwamba tuache unafiki wa kukemea maovu ya upande mmoja na kuacha upande mwingine, ili uonekane una nia ya kukosoa uovu ni lazima uwe fair usiwe na biasness ya aina yoyote ile vinginevyo utaonekana mnafiki na hakuna atakayekusikiliza, haya mambo ya kusema eti kosa moja halihalalishi kosa lingine ndio yanafanya watu fulani wanajiona wana haki ya kufanya maovu kwa kutumia hiko kisingizioKwahiyo, wewe unaona uwepo wa hao uliwataja ndo unahalalisha Judith Wambura kuimba nyimbo za kuwasema wanaume??
Ila wee demu mwanga sana wewe unaonekana. Mchana namba za Njano, Usiku number nyeupe.Anaonekana tu, kuna dada mmoja ni mtu wangu wa karibu yupo km jide full amri na kupelekesha mume, na sura ni ya kiume hivyo hivyo, mumewe mzuri km demu ana hadi hips ๐
Halafu maajabu huyo demu nae anaitwa Judith,, ni king'ong'ooya weweee ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mambo yake mwachie mwenyewe maana binadamu wa siku hizi ni wabishi sana๐
Ni kweli ๐๐๐Ana mkapa unamjua unamsikia! Alishawahi kumetegua Ben mguu
Akamshirikishaga Hamis Mwinyijuma, kipindi hicho anajitafutaโฆ baadae akamnunia ๐ wakapatanishwa na dinner ya Mzee J.K, ndani ya Jumba jeupe na mageti meusi. Ila ka-F.A kipindi kanatafuta maisha kalikuwa kachawa chawa sana nako ๐Wanaume kama mabinti
Ile dinner haikufanya chochote zaidi ya kumtibua zaidi Mheshimiwa FAAkamshirikishaga Hamis Mwinyijuma, kipindi hicho anajitafutaโฆ baadae akamnunia ๐ wakapatanishwa na dinner ya Mzee J.K Jumbe jeupe na mageti meusi. Ila ka-F.A kipindi kanatafuta maisha kalikuwa kachawa chawa sana nako ๐
Tabia za kikurya hizo hawapendi wanaume good behave / nice guys wamezoea ubabe mwingi.kuna ndugu yangu kibosile aliwahi ku date naye kwa siri anasema jide ana gubu na amri. kiufupi mtata mtata.