Lady Jaydee adai talaka kwa mumewe Gardner Habash

Neiwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
728
Reaction score
633
Tokana na chanzo hiki cha The Citizen, Gardner amekiri mkewe huyo kuomba talaka kwake endapo ataendelea kushikilia msimamo wa kuhamia Kenya kikazi alikopata ofa yakuweza kumlipa kipato cha Millioni sita (6) kwa mwezi. Ikumbukwe kuwa Gardner ni meneja wa miradi yote ya mwanadada huyo na ile ambayo ni yao wote.

Chanzo hiki kinaeleza kuwa Gardner kaamua kukataa ofa hiyo ili kuokoa ndoa yake iliyodumu zaidi ya miaka 9 sasa.



 
Tatizo gadna kachoka anataka nae kumiliki vyake
 
Kaka G. Habash huo mtihani huko mshiko na huku Mke???
 
Aaaah hela muhimu,mke naye muhimu pia,sasa chagua moja
 
Huo umeneja utakufikisha wapi tafuta chako uheshimiwe, sasa hivi kila kitu chako watu wanajua umewezeshwa na JD.

Hata kama ndoa ni majaliwa miaka karibu na kenda bilabila.!!!!!!!!!!!!
 
Nahisi Gardner atakua anajutia kuiacha hii ofa
 
Asipokwenda huko atakuwa ---- sana,mwanamke huyu hamtakii mema gadna,kwanza alivunja ndoa yake ya kwanza,sasa hivi tena anataka kumvuruga kiuchumi,utakuwaje manager wa miradi ya mkeo? si atafute pesa zake kivyake? huyu jamaa naye ni kilaza sana,ndo wale wale kina mario!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…