Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
warumi kwa mara ya kwanza leo nimekuelewaMi sinaga ushabiki mavi
Kwaiyo amvumulie eti kisa amemfanyaa afanye vizuri kimziki..kama mwanaume malaya ni bora kujitoa hayo mengine maisha yake binafsi.
Biologically wanaume ni dhaifu sana,Lady jaydee alihakikisha anampata Gardener,kwa hali ile ilikuwa ngumu kuchomoa,hakukuwa na mapenzi pale,yangekuwepo basi wasingeachana.
Biologically wanaume ni dhaifu sana,Lady jaydee alihakikisha anampata Gardener,kwa hali ile ilikuwa ngumu kuchomoa,hakukuwa na mapenzi pale,yangekuwepo basi wasingeachana.
sasa hivi ndo kawa malaya?alipomtega hadi akaacha mke na mtoto?Jide pia malaya alimtega Captain.Wote malaya tu
ofcourse,ana kiburi sana,sidhani kama atahit kama mwanzo
na kama si gadner sidhani kama jide angeolewaga, i got feelings kuwa hata hatongozwagi sijui kwanini nawaza hivyo.
Kwanini asihit... Ahahha kuna watu wanajifanya miungu watu.. Jay dee atatamba tu.. Mpk Mungu atakapoamua
kwani mumewe katimulowa au kajitimua?????
Mimi mwenyewe nimemchukia sana kwa kitendo chake cha kujifanya anataka kumkomoa GARDNER kwa kubadilisha kila kitu, ivi bila gadner jide na madharau yake yale asingefika apo alipo, gadner alikuwa ana mchango mkubwa sana, hata kama wana maugomvi yao , wangetengana tu kama wana ndoa wengine ila u manager ungebaki pale pale, maana jamaa alikuwa n super creative
Jana Yenyewe Nyumbani lounge hapakuwa na watu wala nini, sasa unadhan wale watu wa gadner watakuja tena nyumban lounge?? JIDE ataanguka vibaya sana, labda anajiamini kwa kuwa ana mbinu zote na experience aliyoipata kwa gadner
ni kweli,pamoja na udhaifu alitakiwa akumbuke kiapo cha ndoa,ndo maana nikasema jide asilaumu kuwa jamaa malaya akumbuke kuwa before yeye jamaa alikuwa na mke kabisa.Asiumie hadi amtungie nyimbo jamaaHakuna cha kutegwa Gadner ni umalaya wake ndo ulimtoa kwa mkewe, ila Jide alisahau tabia sio rangi kusema utaibadilisha akajiona mjanja, ukatili aliomtendea mwanamke mwenzie hayo ndo majibu yake.
ndo mziki wa bongo unavyoenda,mwanzoni walisema E. FM ni yake,kama uzushi asahau kuhit maana clouds aliwazingua,times ndo huyo mmewe alikuwa anampaisha,no kuna thread humu kwamba gadena anaenda E.FM means may be si ya mkewe,sasa unategemea nini na mwenyewe mpenda majungu[/QUOTE
sio ya mkewe
Nawashangaa wanaomsema Gardner wakisahau ya kwamba alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha mkewe anapata support hata kufikia yeye kutoelewana na kina Ruge ili mkewe apate support yake. Jide kachemka atarest in peace soon! Mark my words.Mimi mwenyewe nimemchukia sana kwa kitendo chake cha kujifanya anataka kumkomoa GARDNER kwa kubadilisha kila kitu, ivi bila gadner jide na madharau yake yale asingefika apo alipo, gadner alikuwa ana mchango mkubwa sana, hata kama wana maugomvi yao , wangetengana tu kama wana ndoa wengine ila u manager ungebaki pale pale, maana jamaa alikuwa n super creative
Jana Yenyewe Nyumbani lounge hapakuwa na watu wala nini, sasa unadhan wale watu wa gadner watakuja tena nyumban lounge?? JIDE ataanguka vibaya sana, labda anajiamini kwa kuwa ana mbinu zote na experience aliyoipata kwa gadner
Nawashangaa wanaomsema Gardner wakisahau ya kwamba alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha mkewe anapata support hata kufikia yeye kutoelewana na kina Ruge ili mkewe apate support yake. Jide kachemka atarest in peace soon! Mark my words
Dua la kuku hilo. Naona unajipa nafasi ya Mungu
kwani yeye si malaya?
hata bifu la lady jay de na clouds si biashara ila kimapenziNakumbuka miaka ya 2001 na 2002 ndo magazeti ya udaku yameshika chati na kipindi hicho angalau yalikua hayapiki story kivile kama sasahivi, yalikua yananena ukweli wa maseleb wa kibongo kwa kiasi chake japo siwezi thibitisha.
Lady Jay Dee alikua ameenda South Afrika kwenye tuzo za Kola alikua ameandamana na Ruge. Gazeti la Kiu likaripoti kuwa LADY JAY DEE ALALA CHUMBA KIMOJA NA RUGE HOTELINI, SOUTH AFRICA. Kipindi hicho ndo tunanunua vijigazeti vya udaku kusoma story na makatuni ya akina BABA UBAYA. Hahahahaha
Nilipoona swali lako hilo ndo nikavuta kumbukumbu ya hicho kisa. Kusema kweli sijawahi kumsikia jd akiwa na kashfa yoyote ile na wanaume zaidi ya hiyo kwenye gazeti la udaku tena kitambo enzi za album ya MACHOZI.
hata bifu la lady jay de na clouds si biashara ila kimapenzi
BTW jamaa ana moyo,mwanamke yule ana kiburi na wamedumu,halafu tasa jamaa kavumilia,yaani jamaa ni mwelewa sema mwanake siyo kabisaHapo siwezi kubisha,naweza kukubaliana na wewe. Na yasemekana Jide alikua bado analiwa Mbunye Kimyakimya na mtu mzima the boss hata Gadner alikua anajua na ilichangia sana yeye Kuacha kazi pale. Sema uzuri wa Gadner hanaga mabifu ya kijinga yeye ni vitendo tu.
BTW jamaa ana moyo,mwanamke yule ana kiburi na wamedumu,halafu tasa jamaa kavumilia,yaani jamaa ni mwelewa sema mwanake siyo kabisa
Mungu hakupi vyote. Na utasa umemtia doa sana mafanikio yake. Anaonekana kama mwanamke ambaye hajakamilika.