Lady jaydee afunguka kuhusu Band yake na mgahawa

Biologically wanaume ni dhaifu sana,Lady jaydee alihakikisha anampata Gardener,kwa hali ile ilikuwa ngumu kuchomoa,hakukuwa na mapenzi pale,yangekuwepo basi wasingeachana.

na kama si gadner sidhani kama jide angeolewaga, i got feelings kuwa hata hatongozwagi sijui kwanini nawaza hivyo.
 
Biologically wanaume ni dhaifu sana,Lady jaydee alihakikisha anampata Gardener,kwa hali ile ilikuwa ngumu kuchomoa,hakukuwa na mapenzi pale,yangekuwepo basi wasingeachana.

Sasa kama unajua hivyo kwa nini unatetea upande mmoja tu. Kama unajua wanaume ni wadhaifu kwa nini ussiswme pengine Gadner karubuniwa na mwanamkw mwingine tena na kumuacha Jaydee?? Nadhani tusihukumu upande mmoja kabla hatujaajua hata chanzo cha ugomvi unaweza ukamlaumu Jaydee kumbe mwenye makosa ni Gadner kama aliweza kumuacha mkewe aliyezaa naye mtoto kwa ashindwe kwa Jaydee??
 
sasa hivi ndo kawa malaya?alipomtega hadi akaacha mke na mtoto?Jide pia malaya alimtega Captain.Wote malaya tu

Hakuna cha kutegwa Gadner ni umalaya wake ndo ulimtoa kwa mkewe, ila Jide alisahau tabia sio rangi kusema utaibadilisha akajiona mjanja, ukatili aliomtendea mwanamke mwenzie hayo ndo majibu yake.
 
ofcourse,ana kiburi sana,sidhani kama atahit kama mwanzo

Kwanini asihit... Ahahha kuna watu wanajifanya miungu watu.. Jay dee atatamba tu.. Mpk Mungu atakapoamua

kwani mumewe katimulowa au kajitimua?????
 
Alikuwa anahit kwa sababu ya support ya mme
 
Mimi mwenyewe nimemchukia sana kwa kitendo chake cha kujifanya anataka kumkomoa GARDNER kwa kubadilisha kila kitu, ivi bila gadner jide na madharau yake yale asingefika apo alipo, gadner alikuwa ana mchango mkubwa sana, hata kama wana maugomvi yao , wangetengana tu kama wana ndoa wengine ila u manager ungebaki pale pale, maana jamaa alikuwa n super creative

Jana Yenyewe Nyumbani lounge hapakuwa na watu wala nini, sasa unadhan wale watu wa gadner watakuja tena nyumban lounge?? JIDE ataanguka vibaya sana, labda anajiamini kwa kuwa ana mbinu zote na experience aliyoipata kwa gadner

We binamu wee!! pasipokua na maelewano unadhani hata huo umanager utafanyika poa kweli?
 
Hakuna cha kutegwa Gadner ni umalaya wake ndo ulimtoa kwa mkewe, ila Jide alisahau tabia sio rangi kusema utaibadilisha akajiona mjanja, ukatili aliomtendea mwanamke mwenzie hayo ndo majibu yake.
ni kweli,pamoja na udhaifu alitakiwa akumbuke kiapo cha ndoa,ndo maana nikasema jide asilaumu kuwa jamaa malaya akumbuke kuwa before yeye jamaa alikuwa na mke kabisa.Asiumie hadi amtungie nyimbo jamaa
 
ndo mziki wa bongo unavyoenda,mwanzoni walisema E. FM ni yake,kama uzushi asahau kuhit maana clouds aliwazingua,times ndo huyo mmewe alikuwa anampaisha,no kuna thread humu kwamba gadena anaenda E.FM means may be si ya mkewe,sasa unategemea nini na mwenyewe mpenda majungu[/QUOTE
sio ya mkewe
 
Mimi mwenyewe nimemchukia sana kwa kitendo chake cha kujifanya anataka kumkomoa GARDNER kwa kubadilisha kila kitu, ivi bila gadner jide na madharau yake yale asingefika apo alipo, gadner alikuwa ana mchango mkubwa sana, hata kama wana maugomvi yao , wangetengana tu kama wana ndoa wengine ila u manager ungebaki pale pale, maana jamaa alikuwa n super creative

Jana Yenyewe Nyumbani lounge hapakuwa na watu wala nini, sasa unadhan wale watu wa gadner watakuja tena nyumban lounge?? JIDE ataanguka vibaya sana, labda anajiamini kwa kuwa ana mbinu zote na experience aliyoipata kwa gadner
Nawashangaa wanaomsema Gardner wakisahau ya kwamba alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha mkewe anapata support hata kufikia yeye kutoelewana na kina Ruge ili mkewe apate support yake. Jide kachemka atarest in peace soon! Mark my words.
 
Nawashangaa wanaomsema Gardner wakisahau ya kwamba alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha mkewe anapata support hata kufikia yeye kutoelewana na kina Ruge ili mkewe apate support yake. Jide kachemka atarest in peace soon! Mark my words

Dua la kuku hilo. Naona unajipa nafasi ya Mungu
 
kwani yeye si malaya?

Nakumbuka miaka ya 2001 na 2002 ndo magazeti ya udaku yameshika chati na kipindi hicho angalau yalikua hayapiki story kivile kama sasahivi, yalikua yananena ukweli wa maseleb wa kibongo kwa kiasi chake japo siwezi thibitisha.

Lady Jay Dee alikua ameenda South Afrika kwenye tuzo za Kola alikua ameandamana na Ruge. Gazeti la Kiu likaripoti kuwa LADY JAY DEE ALALA CHUMBA KIMOJA NA RUGE HOTELINI, SOUTH AFRICA. Kipindi hicho ndo tunanunua vijigazeti vya udaku kusoma story na makatuni ya akina BABA UBAYA. Hahahahaha

Nilipoona swali lako hilo ndo nikavuta kumbukumbu ya hicho kisa. Kusema kweli sijawahi kumsikia jd akiwa na kashfa yoyote ile na wanaume zaidi ya hiyo kwenye gazeti la udaku tena kitambo enzi za album ya MACHOZI.
 
hata bifu la lady jay de na clouds si biashara ila kimapenzi
 
Hapo siwezi kubisha,naweza kukubaliana na wewe. Na yasemekana Jide alikua bado analiwa Mbunye Kimyakimya na mtu mzima the boss hata Gadner alikua anajua na ilichangia sana yeye Kuacha kazi pale. Sema uzuri wa Gadner hanaga mabifu ya kijinga yeye ni vitendo tu.
 
BTW jamaa ana moyo,mwanamke yule ana kiburi na wamedumu,halafu tasa jamaa kavumilia,yaani jamaa ni mwelewa sema mwanake siyo kabisa
 
Mungu hakupi vyote. Na utasa umemtia doa sana mafanikio yake. Anaonekana kama mwanamke ambaye hajakamilika.
 
Back
Top Bottom