Jide kusikika ni kwa ajili ya Gadena,ndo maana hata clouds walipomtosa bado alisikika,now tuone kama atahit labda hiyo redio yake iliyokuwa inapewa promo na akajipe promo mwenyewe
Viol samahani radio yake inaitwaje na inapatikana masafa gani?
We binamu wee!! pasipokua na maelewano unadhani hata huo umanager utafanyika poa kweli?
umeona eeeh ni mgumu sana kusamehe
Lakini Mungu alivyo wa ajabu unaweza kushangaa hivi walivyoachana Jide akapata mtu mwingine akashika mimba na akazaa. Nimeshawahi shuhudia hii kitu mahali.
Hakuna cha kutegwa Gadner ni umalaya wake ndo ulimtoa kwa mkewe, ila Jide alisahau tabia sio rangi kusema utaibadilisha akajiona mjanja, ukatili aliomtendea mwanamke mwenzie hayo ndo majibu yake.
ni kweli,pamoja na udhaifu alitakiwa akumbuke kiapo cha ndoa,ndo maana nikasema jide asilaumu kuwa jamaa malaya akumbuke kuwa before yeye jamaa alikuwa na mke kabisa.Asiumie hadi amtungie nyimbo jamaa
Mungu hakupi vyote. Na utasa umemtia doa sana mafanikio yake. Anaonekana kama mwanamke ambaye hajakamilika.
Watu vigeu geu kwenye hii forum. Juzi juzi tu mlikuwa mnafurahi mliposikia Gadna kaachana na Jide, mkawa mnasema huu ni mwaka mbaya wa Malioo wote. Leo mnamgeuka Jide
kwani kuna wanawake wangapi hawajaolewa
Lakini Mungu alivyo wa ajabu unaweza kushangaa hivi walivyoachana Jide akapata mtu mwingine akashika mimba na akazaa. Nimeshawahi shuhudia hii kitu mahali.
Biologically wanaume ni dhaifu sana,Lady jaydee alihakikisha anampata Gardener,kwa hali ile ilikuwa ngumu kuchomoa,hakukuwa na mapenzi pale,yangekuwepo basi wasingeachana.
Anajiona kafika na ana kila kitu, ila ni lazima akumbuke aliyemsaidia, hata kama sio kifedha gadner ana mchango mkubwa sana, hayo mengine ni ubinadamu tu
Mimi mwenyewe nimemchukia sana kwa kitendo chake cha kujifanya anataka kumkomoa GARDNER kwa kubadilisha kila kitu, ivi bila gadner jide na madharau yake yale asingefika apo alipo, gadner alikuwa ana mchango mkubwa sana, hata kama wana maugomvi yao , wangetengana tu kama wana ndoa wengine ila u manager ungebaki pale pale, maana jamaa alikuwa n super creative
Jana Yenyewe Nyumbani lounge hapakuwa na watu wala nini, sasa unadhan wale watu wa gadner watakuja tena nyumban lounge?? JIDE ataanguka vibaya sana, labda anajiamini kwa kuwa ana mbinu zote na experience aliyoipata kwa gadner
Nakumbuka miaka ya 2001 na 2002 ndo magazeti ya udaku yameshika chati na kipindi hicho angalau yalikua hayapiki story kivile kama sasahivi, yalikua yananena ukweli wa maseleb wa kibongo kwa kiasi chake japo siwezi thibitisha.
Lady Jay Dee alikua ameenda South Afrika kwenye tuzo za Kola alikua ameandamana na Ruge. Gazeti la Kiu likaripoti kuwa LADY JAY DEE ALALA CHUMBA KIMOJA NA RUGE HOTELINI, SOUTH AFRICA. Kipindi hicho ndo tunanunua vijigazeti vya udaku kusoma story na makatuni ya akina BABA UBAYA. Hahahahaha
Nilipoona swali lako hilo ndo nikavuta kumbukumbu ya hicho kisa. Kusema kweli sijawahi kumsikia jd akiwa na kashfa yoyote ile na wanaume zaidi ya hiyo kwenye gazeti la udaku tena kitambo enzi za album ya MACHOZI.
hahaha haya bhana,inategemea na mtegwaji kwa kweli,Kama Yusuph alivumilia kwa mke wa Potifa huku Yusuph akiwa marioo,mimi naona ni commitment tu kwa mkeo.Labda mi macho yangu yana makengeza hivi Jide anaweza kukutega ukapagawa kabisaaaaaa! Huyu Garder mdwanzi tuuu anapenda Umarioooo ndo mana akaenda kwa jide mi hata Jide akae uchi siwezi kumuacha wife labda awe kibungo kuliko Jide.Smh
Hizi ndo comment za wabongo, sidhani walipoendelea wanajadili upuuzi namna hiiKwahiyo unataka kusema Gadneq ndio alikua mwanaume wa kwanza kukutana na jide mpaka useme akimpata mwingne ndiyo atazaa?
Hapo tatizo ni la mwanamke. Angelikua mwanaume ndio mwenye matatizo wangeshaachana kitambo sana. Isitoshe gadner ana mtoto mkubwa.