Lady jaydee afunguka kuhusu Band yake na mgahawa

Lady jaydee afunguka kuhusu Band yake na mgahawa

Jide kusikika ni kwa ajili ya Gadena,ndo maana hata clouds walipomtosa bado alisikika,now tuone kama atahit labda hiyo redio yake iliyokuwa inapewa promo na akajipe promo mwenyewe

Viol samahani radio yake inaitwaje na inapatikana masafa gani?
 
We binamu wee!! pasipokua na maelewano unadhani hata huo umanager utafanyika poa kweli?

Mbona Waziri Alky (Kilimanjaro Band) na Nyota wametengana na bado wanafanya kazi pamoja tena wao wote wapo kwa stage pamoja.
 
Lakini Mungu alivyo wa ajabu unaweza kushangaa hivi walivyoachana Jide akapata mtu mwingine akashika mimba na akazaa. Nimeshawahi shuhudia hii kitu mahali.
 
Lakini Mungu alivyo wa ajabu unaweza kushangaa hivi walivyoachana Jide akapata mtu mwingine akashika mimba na akazaa. Nimeshawahi shuhudia hii kitu mahali.

Kwahiyo unataka kusema Gadneq ndio alikua mwanaume wa kwanza kukutana na jide mpaka useme akimpata mwingne ndiyo atazaa?

Hapo tatizo ni la mwanamke. Angelikua mwanaume ndio mwenye matatizo wangeshaachana kitambo sana. Isitoshe gadner ana mtoto mkubwa.
 
Hakuna cha kutegwa Gadner ni umalaya wake ndo ulimtoa kwa mkewe, ila Jide alisahau tabia sio rangi kusema utaibadilisha akajiona mjanja, ukatili aliomtendea mwanamke mwenzie hayo ndo majibu yake.

kweli angelita gadna umalaya hakuanzia kwa jide alianza kitambo sana toka yuko na mkewe na wishaanza migogoro mpaka anatoka na jide ndoa na mkewe ilikua inaning'inia
sema jide kwa umaarufu wake ndo maana alivumishiwa sanw
 
ni kweli,pamoja na udhaifu alitakiwa akumbuke kiapo cha ndoa,ndo maana nikasema jide asilaumu kuwa jamaa malaya akumbuke kuwa before yeye jamaa alikuwa na mke kabisa.Asiumie hadi amtungie nyimbo jamaa

mke wa gadna kabadili dini asa hv kaolewa na muislamu yuko mwanza
 
Watu vigeu geu kwenye hii forum. Juzi juzi tu mlikuwa mnafurahi mliposikia Gadna kaachana na Jide, mkawa mnasema huu ni mwaka mbaya wa Malioo wote. Leo mnamgeuka Jide

ndivyo tulivyo mwaya, wee endelea tu kuchangia kwa utakavyoweza.
 
Lakini Mungu alivyo wa ajabu unaweza kushangaa hivi walivyoachana Jide akapata mtu mwingine akashika mimba na akazaa. Nimeshawahi shuhudia hii kitu mahali.

possible kabisa waweza kuta dua za mke wa kwanza aliyeachwa zimesimama, machozi ya asiye na hatia hayaendagi bure
 
Biologically wanaume ni dhaifu sana,Lady jaydee alihakikisha anampata Gardener,kwa hali ile ilikuwa ngumu kuchomoa,hakukuwa na mapenzi pale,yangekuwepo basi wasingeachana.

Labda mi macho yangu yana makengeza hivi Jide anaweza kukutega ukapagawa kabisaaaaaa! Huyu Garder mdwanzi tuuu anapenda Umarioooo ndo mana akaenda kwa jide mi hata Jide akae uchi siwezi kumuacha wife labda awe kibungo kuliko Jide.Smh
 
Kwani kusema basi kwa mwanamme ndio kiburi? kama ameandikiwa kupata JD atapata awe na yoyote yule,na huyo mumewe alomwanaganae pia kama ameandikiwa kuwika na yeye atawika kabla hawaja kutana walikua wanaishi wote kila mtu kwa rizki za mungu na sasa itaendelea vile vile................
 
Anajiona kafika na ana kila kitu, ila ni lazima akumbuke aliyemsaidia, hata kama sio kifedha gadner ana mchango mkubwa sana, hayo mengine ni ubinadamu tu

ivi mnavyolaumu hivi ni kwamba mnajua walichokosana....???

Ya ngoswe mwachieni Ngoswe..hukawii kuskia wamerudiana na mme wake maana chululu ni hatari
 
yamekwisha mapenzi na hayalazimishwi wasonge mbele mbona wadada wapo wengi na wakaka kila mmoja achukue wake
maisha yaendelee sio vema kila leo magazetini.
 
Mimi mwenyewe nimemchukia sana kwa kitendo chake cha kujifanya anataka kumkomoa GARDNER kwa kubadilisha kila kitu, ivi bila gadner jide na madharau yake yale asingefika apo alipo, gadner alikuwa ana mchango mkubwa sana, hata kama wana maugomvi yao , wangetengana tu kama wana ndoa wengine ila u manager ungebaki pale pale, maana jamaa alikuwa n super creative

Jana Yenyewe Nyumbani lounge hapakuwa na watu wala nini, sasa unadhan wale watu wa gadner watakuja tena nyumban lounge?? JIDE ataanguka vibaya sana, labda anajiamini kwa kuwa ana mbinu zote na experience aliyoipata kwa gadner

hata kama ana mbinu na experience kutoka kwa gadna,haitamsaidia coz jide ana dharau na kiburi,watu wamechoshwa na kauli zake,vinyongo visivyo na sababu,bif z mitandaoni na tabia za uswahili za mafumbo
 
Nakumbuka miaka ya 2001 na 2002 ndo magazeti ya udaku yameshika chati na kipindi hicho angalau yalikua hayapiki story kivile kama sasahivi, yalikua yananena ukweli wa maseleb wa kibongo kwa kiasi chake japo siwezi thibitisha.

Lady Jay Dee alikua ameenda South Afrika kwenye tuzo za Kola alikua ameandamana na Ruge. Gazeti la Kiu likaripoti kuwa LADY JAY DEE ALALA CHUMBA KIMOJA NA RUGE HOTELINI, SOUTH AFRICA. Kipindi hicho ndo tunanunua vijigazeti vya udaku kusoma story na makatuni ya akina BABA UBAYA. Hahahahaha

Nilipoona swali lako hilo ndo nikavuta kumbukumbu ya hicho kisa. Kusema kweli sijawahi kumsikia jd akiwa na kashfa yoyote ile na wanaume zaidi ya hiyo kwenye gazeti la udaku tena kitambo enzi za album ya MACHOZI.

mkuu jide ni malaya in nature,mguu aka the advocate analamba ile mbunye kama ya kwake,mpaka leo wapo pamoja na ndio anampa jide jeuri ya pesa
 
Labda mi macho yangu yana makengeza hivi Jide anaweza kukutega ukapagawa kabisaaaaaa! Huyu Garder mdwanzi tuuu anapenda Umarioooo ndo mana akaenda kwa jide mi hata Jide akae uchi siwezi kumuacha wife labda awe kibungo kuliko Jide.Smh
hahaha haya bhana,inategemea na mtegwaji kwa kweli,Kama Yusuph alivumilia kwa mke wa Potifa huku Yusuph akiwa marioo,mimi naona ni commitment tu kwa mkeo.
 
Kwahiyo unataka kusema Gadneq ndio alikua mwanaume wa kwanza kukutana na jide mpaka useme akimpata mwingne ndiyo atazaa?

Hapo tatizo ni la mwanamke. Angelikua mwanaume ndio mwenye matatizo wangeshaachana kitambo sana. Isitoshe gadner ana mtoto mkubwa.
Hizi ndo comment za wabongo, sidhani walipoendelea wanajadili upuuzi namna hii
 
Back
Top Bottom