Lady Jaydee ahamia hotelini

Lady Jaydee ahamia hotelini

Mziki unaoubeep hauuwezi, wellcome na welcome ni makosa ya kawaida kwenye prediction keypard, nashangaa Lara 1 anakujaje hapa? punguza kujipendekeza kwa wanaume idadi ya mabasha imeongezeka.

Acha fix we muhaya uliyekimbia shule keypard(sahihi- keypad) gani itakuletea wellcome na homebody? ata kwa ras simba kanuni za 2+o+b hazijakusaidia? kweli vichwa vingine vizito sana,we ni iron boy.
 
Nimerudi binamu, yani
niliwamisi kiama, hadi natetemeka apa maana nina maubuyu ya haja kiama,
im back na wale ambao ujio wangu umewachefua ndimu zinawahusu,
hihihii....
Pamoja sana binamu,achana nao wenye mimba changa ww tumwagie ubuyu.Pole sana na karibu tena.
 
Nimerudi binamu, yani niliwamisi kiama, hadi natetemeka apa maana nina maubuyu ya haja kiama, im back na wale ambao ujio wangu umewachefua ndimu zinawahusu, hihihii....

Welcome back binamu, tulikumisije jamani, hadi jukwaa lilipoza jamani, karibu tena tufurahie habari za mujini
 
Ahahah ahaha na ivi mdomo wangu ulivyokuwa hauna break utashangaa siku ya leo haiishi nimeshakula ban hahaha ahahaa!!!

Utakuwa unajitakia hiyo ban kwani kumuweka mtu kwenye ignore list au kumpuuza wewe utapungukiwa na nini?
 
PTI May 11, 2010, 03.04pm IST
Tags:

Queensland University of Technology|
oxford dictionary|
Margot Charlton

Melbourne: An Australian physics professor has prompted the Oxford Dictionary to correct a 99-year-old mistake after he discovered that the definition of 'siphon' was wrongly stated since 1911.

Stephen Hughes, a lecturer at Queensland University of Technology, discovered the misspelled word while he was writing a paper on how they work.

According to the 'Herald Sun', the Oxford English Dictionary had incorrectly stated atmospheric pressure is the force in a siphone when it is actually gravity. Siphons are commonly used to empty containers like petrol tanks.

"An extensive check of online and offline dictionaries did not reveal a single dictionary that correctly referred to gravity being the operative force," Hughes said, adding "My initial reaction was shock. I just stood there like a stunned mullet thinking how can this be?"

He emailed the editors at Oxford whose revision team said they will correct the mistake.

Oxford Dictionary spokeswoman Margot Charlton said the definition was written in 1911 by "editors who were not scientists".

"Our files suggest that no one has queried the definition (since 1911)," Charlton said.

She said editors would take Hughes's notes into account when the entry is rewritten.
 
Gadna nae anaaibisha jinsia me

Gadner anapenda sana uchi, kuna kijana ambaye anamsaidia kazi jide pale nyumbani lounge jamaa nasikia kala sana tigo kwa mshikaji hadi jide akajua, lilikuwa timbwili la aina yake

Jamaa gadner yupo poa sana na mchapakazi sema kwenye suala la uchi wa binadamu yeyote hanaga masihara apo tu ndo wanaposhindwana na jide
 
Binamu....nlikumith sanaaaaaa....bora umerudi.
Binamu nataka ubuyu wa Kaka meneja wa Mama Ubaya...eti nasikia kafiwa?
Si unajua tena umbea uwitoooo....
 
Gadner anapenda sana uchi, kuna kijana ambaye anamsaidia kazi jide pale nyumbani lounge jamaa nasikia kala sana tigo kwa mshikaji hadi jide akajua, lilikuwa timbwili la aina yake

Jamaa gadner yupo poa sana na mchapakazi sema kwenye suala la uchi wa binadamu yeyote hanaga masihara apo tu ndo wanaposhindwana na jide

There we go, full umbea karibu, karibu, karibu u were missed
 
Back
Top Bottom