Lady Jaydee akiwa na mpenzi wake mpya, wamependeza au la?

Ndo Yale ya Kudhalilishana majukwaani kukojozana Sijui ... Sasa Huyu Mwanaume Sijui atakuja Kusemaje
Mapenzi ni ya wawili wewe yakuwashia nn, watalaka kusemana na kupondana ni kawaida yao si Gardner na Jide tu hata mtaani kwetu yapo
 
Mbona jdee hayupo na hisia? Yaani ni kama vile kashikwa na mwanamke mwenzie
 
Kwa umri wait huyu mama. JAYDEE anastahili kuitwa Bibi. Shikamoo Bibi bomba JAYDEE.
 
Maisha yake tafuteni hela kwa ajili ya maisha yenu ku boa au kuto kuboa ina wahusu nini hasa, watanzania bwana mna changamoto za muhimu ku dicuss manaanza mambo ya watu binafsi! Penda mziki wake mwengine muachie mxiuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…