Lady Jaydee akiwa na mpenzi wake mpya, wamependeza au la?

Lady Jaydee akiwa na mpenzi wake mpya, wamependeza au la?

Safiiii ila da jide kwa heshima yako bingo hapa m not sure kama hizi picha zinafaa.
 
IMG-20161125-WA0033.jpg
Mkuu mtoto bado kabisa huyu wacha kumuita mzee
 
Yaan wamependezeana haswaa jamaa ni romantician aiseee
 
Dada yangu!

Fanya ile kitu roho inapenda-kula,kunywaa
N.a. kuleni Maapple yote ya Eden!
Maisha yenyewe Mafupi,

Raha ya tunda Mle wawili bwana!
 
0a7f6358d5c9fa0c48626a167ea0b1a9.jpg


Naona Anarudi Kwa Ujana Kwa Kasi ya Ajabu sasa Sijui alikuwa wapi kuyafanya Haya Na Mumewe kipindi kile..

Vipi hapo Unaonaje.. Yupo sawa Au Kaboa



hayo ndo maandaliz ya video mpya
 
Back
Top Bottom