Lady Jaydee alivyowafunga midomo Mawingu

Kwa hiyo na wewe unadhani umeandika?

Ndiyo, nimeandika. Umekielewa nilichokiandika?

au hivyo vimaneno vya kipumbavu unadhani kila mtu atakua na Stunt.....

Watu makini hujali sana umahsusi. Sasa basi, hebu niorodheshee hivyo vijimaneno vya kipumbavu halafu unieleze kwa utondoti upumbavu wake. Ukishindwa kufanya hivyo wewe ndiyo utakuwa mpumbavu kwa kusema jambo ambalo huwezi kulitetea.

Pumbavu kabisa

Pumbavu ni bibi yako mkaza babu yako mzaa nyoko.

....unamfahamu Prof. Maboko wa Udsm? Mukandala?

Siwafahamu hao watu. Ni akina nani kwani? Mabwana zako?

......jaribu kutafuta article zao usome

Sina muda huo.


Kimburu:heh:
 

Unaonekana unapenda sana mipasho.....si bure lazima Rugay anahusika sana kukupumulia kisogoni...
nichambue nini kwenye utumbo huu ulioandika?.....

akili ka Le Mutuz
 
Unaonekana unapenda sana mipasho.....si bure lazima Rugay anahusika sana kukupumulia kisogoni...
nichambue nini kwenye utumbo huu ulioandika?.....

akili ka Le Mutuz

Na wewe nani anakupasulia mbegu? Sugu?
 
Na wewe nani anakupasulia mbegu? Sugu?

lakini wewe ni mwanaume...na kupumuliwa Tanzania bado haijaruhusu.......kwa hiyo mwambie Rugay akupumulie kwa siri sababu wakikusikia wake wenza itakua balaa......
by the way, karibu unywe Ulanzi.....maana umeshapanic
 
lakini wewe ni mwanaume...

Thibitisha kama mimi ni mwanaume.

na kupumuliwa Tanzania bado haijaruhusu.......

Umejuaje yote hayo? Lazima utakuwa unafuatilia kwa ukaribu sana wewe....I wonder why!!!

kwa hiyo mwambie Rugay akupumulie kwa siri sababu wakikusikia wake wenza itakua balaa......

Mbona uko fixated sana na hayo mambo wewe? Au ndo una-project homoerotic feelings zako?

by the way, karibu unywe Ulanzi.....maana umeshapanic

Umekosa bwana wa kunywa naye?
 

Hujui wewe. Unaungaunga tu. Angalia dogo alivyokuumbua na kukopikopi kwako. Shuu limekushuka.
 

Unambwelambwela sana wewe. Hilooo kubwa zima linaumbuliwa na vitoto vidogoooo
 
Hujui wewe. Unaungaunga tu. Angalia dogo alivyokuumbua na kukopikopi kwako. Shuu limekushuka.

Mtu yeyote mwenye kujua kutumia kompyuta na anaye keep up na current events ni wazi angejua hicho nilichobandika kimetoka wapi kwani kipo all over the blogosphere.

Kwenye YouTube peke yake tu clip ina views zaidi ya milioni 3. Sasa kweli kwa akili yako ya dengu kama nilikuwa na lengo la kuhadaa mtu unadhani ningeweza kutumia kauli ya mtu mwingine na kujifanya ni ya kwangu?

Na mimi nilifanya makusudi kabisa kwa kumdharau kwa sababu (1) nilijua atakimbilia huko na (2) hiyo nukuu ilikuwa haihusiani kabisa na alichokiandika. Ilikuwa ni gibberish tu. Mngekuwa werevu mngeling'amua hilo. Hebu jaribu tu ku google hiyo kauli uone hits utakazopata.

Kwa hiyo dada, limekushuka mwenyewe kama yale madudu yako yanavyoshukaga kila mzunguko.

Great supine protoplasmic invertebrate jellies
 
Kama hutaki kujua nakula bata Marekani basi acha kunizushia kazi ambazo sizifanyi huko mavumbini.

Mimi sijawahi na sifanyi kazi Clouds na siishi mavumbini. Get that heaux.

Ndo tatizo lenu waBongo wenu mkienda kubeba Box Ulaya au America,,,waTanzania wa sasa hivi sio miaka ile ya giza.
 
Ndo tatizo lenu waBongo wenu mkienda kubeba Box Ulaya au America,,,waTanzania wa sasa hivi sio miaka ile ya giza.

Unaona sasa....mnaita watu wabeba mabox...mara sijui watawaza vizee na kejeli na kebehi lukuki. Lakini aaah...hatutakiwi kusema lolote. Tukisema yanakuwa ya kunya anye kuku akinya bata kaharisha! Hewala bwana...wabeba mabox tuna matatizo.
 
Umekopi kizembezembe, madogo wamekushtukia. Aibu hiyo

Niko savvy kuliko unavyonidhania. Na nilikopi hivyo kwa makusudi kabisa lakini kwa vile wewe uko obsessed na kuumbuana, hilo hutaliona.

Jaribu tu ku google Great supine protoplasmic invertebrate jellies uone hits utakazopata halafu tumia common sense yako (kama unayo) kupima, kuchuja, na kuchekecha kati ya unachodhani na ninachokuambia. Jibu utakalopata basi hivyo ndivyo ilivyo (kwako lakini).
 

eti ''niko savvy kuliko unavyonidhania.''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…