Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwa hiyo na wewe unadhani umeandika?
Ndiyo, nimeandika. Umekielewa nilichokiandika?
au hivyo vimaneno vya kipumbavu unadhani kila mtu atakua na Stunt.....
Watu makini hujali sana umahsusi. Sasa basi, hebu niorodheshee hivyo vijimaneno vya kipumbavu halafu unieleze kwa utondoti upumbavu wake. Ukishindwa kufanya hivyo wewe ndiyo utakuwa mpumbavu kwa kusema jambo ambalo huwezi kulitetea.
Pumbavu kabisa
Pumbavu ni bibi yako mkaza babu yako mzaa nyoko.
....unamfahamu Prof. Maboko wa Udsm? Mukandala?
Siwafahamu hao watu. Ni akina nani kwani? Mabwana zako?
......jaribu kutafuta article zao usome
Sina muda huo.
...nyau
Kimburu:heh: