Lady JayDee ambatiza jina jipya MwanaFA

Status
Not open for further replies.

mwache aitwe ivo coz ndio jina linalomfaa c analeta tabia za kike
 
kwa hyo we unasapot unyonjaj wa2 km we ndio ha2watak ktk nchi ye2
 
Hicho chake anachodai ni kipi hasa? Kiko wapi? Na nani anacho?

anachohitaj jide ni uhuru wa kufanya biashara zke bila kuletewa fitna na hao wapigaj wanaotka acwe giant ili wamnyonye vzur
 
ataeleza vp wkt jamaa wamempiga pin mahakaman asizungumze khs wao acha mahaba yko na wezi

Kabla ishu kwenda Mahakamani mbona alitoa waraka?
Je alielezea jamaa wanavyonyonya?
au si alitembelea Redio mbalimbali je ameeleza jinsi jamaa wanavyonyonya?
 
anachohitaj jide ni uhuru wa kufanya biashara zke bila kuletewa fitna na hao wapigaj wanaotka acwe giant ili wamnyonye vzur

HAPANA...
Anachokitaka Jide ishu ya yeye kufanya biashara ya muziki bila kuwa na upinzani.
Ule waraka aliokuja nao awali ulikuja kwa sababu tu Bendi ya Sky Light ilichukua wanamuziki toka Machozi Band.
Povu looote lile lilikuwa kwa sababu hiyo TU.
Atatafuta huruma za watu popote lakini ukweli huu hawezi kuupinga moyoni mwake.

Sarakasi aliyoiruka huku kavaa Taulo mbele ya FA inampwita kwa sababu tu FA ameamua kuzima nae na kubutua nae.
Hakuna dhambi yoyote aliyoifanya FA, wote ni wasanii na wanatakiwa watafute Maslahi.
So hizo ni miongoni mwa changamoto za kimuziki ambazo anatakiwa ajifunze kukimbizana nazo...

Sio anakaa analialia tu na kengeza lake lile...
 
huyu mwanamke ni mnafiki sana. kiukwel hapa hakuna bifu ila ni wafanya biashara!!
usije ukashangaa baada ya hii show wakajifanya wamekaa chini wamemaliza tofauti zao na washaingiza mkwanja
 
anachohitaj jide ni uhuru wa kufanya biashara zke bila kuletewa fitna na hao wapigaj wanaotka acwe giant ili wamnyonye vzur

Kwani kanyimwa uhuru wa kufanya biashara?

Na hizo fitina unazodai ni zipi hasa?

Unaweza kuzitaja moja baada ya nyingine?
 
Chonde chonde tusijetengengeneza Tupak na BIG wa kibongo. Hizi fujo zinapamba moto kimasihara ila mwisho wake unaweza kuwa mbaya mpaka tukastaajabu
 
wengine mnapenda sana vya kupewa ndo maana wengi wenu mnaishia kuchezewa, mnamegwa mnaachwa na hata mkiolewa...
Vijijini asilimia 90 masikini starehe yao ni pombe na nyie...

Kama kusoma ruksa kusoma,wengine bungeni si mnawaona! Kama kuimba imba tu usione noma kama sister p stara ray c hamtaki kuendesha prado kama lady jay dee<komandooo>
 
Ndio maana hazai

Si kweli, Judith ana mtoto wa miaka nadhani kati ya 18 au 21.
Amemuacha kwao Sitimbi atanue kwapa kwa kilimo cha jembe la mkono.
Ndo mana anajionea sawa tu anaponyaukia ndoani.
 
huyu mwanamke ni mnafiki sana. kiukwel hapa hakuna bifu ila ni wafanya biashara!!
usije ukashangaa baada ya hii show wakajifanya wamekaa chini wamemaliza tofauti zao na washaingiza mkwanja

Afu mi nahisi Jide kampa limbwata Gadna, mbona Gadna kapoa hvo?
Ningekuwa me Gadna, nigempa kerbu 2 kwanza za kumfumbua macho.
Ili awe na adabu na viumbe wanaompa starehe hapa duniani.
 
wengine mnapenda sana vya kupewa ndo maana wengi wenu mnaishia kuchezewa, mnamegwa mnaachwa na hata mkiolewa...
Vijijini asilimia 90 masikini starehe yao ni pombe na nyie...

Jide mkorofi sana halafu muoga kwenye ushindani !
 
Mwanaume anajisimamia mwenyewe huyo FAtuma ni binti tu.
 
Unachokisema huenda ni kweli ni moja wapo ya sababu lakini ni ukweli usiopingika kuwa clouds media inawanyonya wasanii na inataka kumonopolize soko la mziki la tanzania tena kwa njia zisizosahihi!Ingekuwa niJide peke yake ndiye aliyeanza kuwashushia lawama ningekubaliana na wewe kuwa kibibi kizee cha Turin(Juventus) kama wewe unavyomuita kuwa anamatatizo binafsi lakini vp kuhusu Sugu na VINEGA,NGWAIR R.I.P,Prof jeezy?mbona wote wanailaumu mawingu?clouds kuna upuuzi wanaufanya lakini wagundue kuwa muziki ni talent hizi promo za media ni kama chachandu tu kwenye chipsi dume.
 
ushawahi lini kumsikia ngwair akiilalamikia clouds ikiwa interview yake ya mwisho kabla ya umauti aliifanya clouds
 
Afu mi nahisi Jide kampa limbwata Gadna, mbona Gadna kapoa hvo?
Ningekuwa me Gadna, nigempa kerbu 2 kwanza za kumfumbua macho.
Ili awe na adabu na viumbe wanaompa starehe hapa duniani.

hahahaha hata hajalogwa ila anaangalia maslahi yake!! mjini hapa maana jide mwenyewe alivyo na kiuno kigumu!!
 
ushawahi lini kumsikia ngwair akiilalamikia clouds ikiwa interview yake ya mwisho kabla ya umauti aliifanya clouds

Acha kuchekesha jamii wewe,NGWAIR hakuwa anakwenda clouds kufanya interview kwa kutaka bali alikuwa anahangaikia mkate wake wa siku ndiyo ikawa inabidi awe anawachekea usoni huku moyoni anaumizwa,refer interview ya P.FUNK. Halafu vipi kuhusu SUGU na VINEGA?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…