komeka
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 1,072
- 403
Menopozi huwa
inakuja vibaya sana. Hata kama anatetea chake inahuu kumuita mwenzake
jina hilo tena ukizingatia nafasi yake kwenye jamii ya wasanii wenzake
na tanzania? Jide ni moja kati ya wasanii wa kike wakongwe, ni lazima
atumie busara hata anapodai chake.
mwache aitwe ivo coz ndio jina linalomfaa c analeta tabia za kike