Kama unajijua hali yako ni tata , mimba zinakutesa na zina kupotezea muda maana siku ya mwisho ni inaharibikan kwanini usijihusishe na technology?.
Lady JD hela aliyo tumia kupanga zile apartments na pia kukaa huko France , kwanini asingeitumia kwa kuchagua ndugu yake mmoja huko kijijini ,ange melimisha kuhusu masuala ya kua surrogate na artificial insemination na kulipa, halafu ange mpeleka South Africa ili aweze kusaidiwa kupandikiza mimba na kumzalia mtoto , kuliko kujaribu kila siku na miaka inakwenda.
Mungu mbariki Judith afanikishe ndoto yake yas kua mama.