Lady Jaydee apumzishwa kitandani kwa miezi mitatu kukwepa miscarriage

Lady Jaydee apumzishwa kitandani kwa miezi mitatu kukwepa miscarriage

Watoto ni zawadi toka kwa Mungu....Mungu wetu akutangulie na kukulinda , ili ndoto yako ya kuitwa mama itimie....
 
Nampenda sana Jay Dee na Kumuheshimu... Ni mwanamke wa tofauti sana kati ya wale walio maarufu... Ni role model kwa mpenzi wangu... She is the superstar and a true fighter.
MUNGU AMBARIKI SANA KWA KILA JAMBO..
 
si nasikia huyu dada anakula ganja aka bange? Sasa kama dr.ameoder complete bed rest bila kumwambia aache hiyo kitu itasaidia nini?
leo ndo nimeamini kweli jf is never boring,du!
 
Kama ni kweli Mungu awe naye ktk kipindi hiki..
 
Hili suala la Lady Jaydee jamani, suala la kupumzishwa ili asipate miscarriage ni suala la ndani kabisa ambalo hakuna anayeweza kulizibitisha isipokuwa mumewe, mimi nafikiri watu wame jump into a conclusion tu, hebu mpeni nafasi kama kuna lolote ni hapo baadae ila kwa sasa ameomba kupumzika kidogo na zaidi ya yote hajalazwa.
Jaydee na mumewe wanayataka wenyewe watu wajue maisha yao sasa mambo ya kifamilia inakuwaje tena??? kutwa kujiweka kwenye blogs niko hivi niko vile nitawajulisha baada ya Dec. na upuuzi mwingineo sasa mlitegemea watu wakae kimya!!??? Hizi blog zinawachanganya sana watu...kupenda kutangaza maisha yao sasa mshahara wake ni huo watu watasema lile wanalopenda. Otherwise Jaydee weka mambo yako kapuni acha kutanga tangaza itakuharibia amani ya maisha yako. Keep things to urself.
 
Mungu wa Mbinguni akamsimamie. Na akaonekane ktk kipindi hiki kigumu cha kusubiri.
 
I thought hawezi kushika mimba. Hahahahahaha kumbe cko sahihi
mhmhmhmhmh
kumbe gadner kidume mweeeeeeeee
 
tetesi ni kwamba kamdada kanasmoke weed ,,,, sasa maombi yatafika kweli?
 
Back
Top Bottom