Nimjibu nin wakat mtu mwenyew hata hajielewi
Kumbe na wewe ndo wale wale mwezi mchanga ? Mmh kazi ipo humu, aya kwa heri ngoja niwaache mnaojielewa
Msibishane kizamani jamani, Muvi zenye mafanikio huwa zinapimwa kwa mahudhurio ya kutazamwa (box office) na sio maoni ya kila anayejisikia, au kuongozwa tu na mapenzi yake binafsi kwa msanii/filamu fulani.
Views za you tube zipo na hazina longolongo wala nini, kwa kuanzia:-
My number one...2.7 mil views, Moyo wangu 1.7 mil views, Mbgala 1.4 mil views, Ukimwona Laki 5 views, Nataka kulewa Laki 5 views, Mawazo Laki 5 views.
Mwingine aje na takwimu za Jide.
Inawezekana sijaona, ila ana kiburi unajua mtu mwenye hekima hata kama ameudhiwa anakaa kimya siyo kuibua maugomvi, na tukubali tukatae hiyo media ndio imechangia kumfikisha hapo alipo, ana hasira sana apunguze akiwa kama msanii hapaswi kuwa hivyo.zavi!kiburi??wewe Jide hana kiburi na media ni hao wenye chuki zao kisa wanataka wanyenyekewe wao tu kwan Mungu.Blog kibao zimemwandika mbona na watu binafsi Sporah show,Dj choka,JOyce kiria,Times Fm N.k
Msibishane kizamani jamani, Muvi zenye mafanikio huwa zinapimwa kwa mahudhurio ya kutazamwa (box office) na sio maoni ya kila anayejisikia, au kuongozwa tu na mapenzi yake binafsi kwa msanii/filamu fulani.
Views za you tube zipo na hazina longolongo wala nini, kwa kuanzia:-
My number one...2.7 mil views, Moyo wangu 1.7 mil views, Mbgala 1.4 mil views, Ukimwona Laki 5 views, Nataka kulewa Laki 5 views, Mawazo Laki 5 views.
Mwingine aje na takwimu za Jide.
Inawezekana sijaona, ila ana kiburi unajua mtu mwenye hekima hata kama ameudhiwa anakaa kimya siyo kuibua maugomvi, na tukubali tukatae hiyo media ndio imechangia kumfikisha hapo alipo, ana hasira sana apunguze akiwa kama msanii hapaswi kuwa hivyo.
Lakini hilo ni tatizo kwa wanawake wenye nyota ya Mapacha (GEMIN) huwa hawakubali kushindwa.
Kati ya wasanii ambao hawana mabifu ya ajabu ajabu ni jide mkuu, bifu lake na clouds ni la kimaslahi zaidi sio vinginevyo.
Hao clouds kama wanajua sana kubeba wasanii mbona wameshindwa kumrudisha ray c? Juhud binafsi za jide ndo zimemfikisha apo , ata clouds wangemtangaza dunia nzima kama angekuwa hajui kuimba na hajitumi bas asingefika apo alipo bro though clouds pia imechangia as media
Imechangia kama media sawa,lakini binamu unajua Clouds ndio imemtoa Jide? hata kipaji chake ni haohao clouds ndio wamekiinua na hakuna msanii aliyebebwa na clouds kama Jide. Hata kama clouds walimkosea lakini usisahau wema wote kwa kosa moja/mawili.Jide tukubali/tukatae clouds imemlea Jide kisanii. Rayc ni ujinga wake mwenyewe kula unga, na nina hakika Ray c asingeharibikiwa na unga ndio msanii pekee wa kike ambaye angeweza pambana na Jide, sababu enzi hizo ndio alikuwa anampelekesha Jide.
Ray c kwa mauno tu kweli alimpelekesha jide , maana bibie nae ana kiuno kigumu kama kinu , ila ndo kashapoteza dira maskin dah sijui anajisikiaje kumuona mwenzie aliyetoka nae mbali kumzidi kimafanikio