Lady Jaydee avunja rekodi ya Tuzo Tanzania nzima (2001 - 2014)

Mi nahisi we nd'o hujielewi, jibu hoja yake sio unamshambulia mtu binafsi hiyo sio fea!

Kumbe na wewe ndo wale wale mwezi mchanga ? Mmh kazi ipo humu, aya kwa heri ngoja niwaache mnaojielewa
 
Msibishane kizamani jamani, Muvi zenye mafanikio huwa zinapimwa kwa mahudhurio ya kutazamwa (box office) na sio maoni ya kila anayejisikia, au kuongozwa tu na mapenzi yake binafsi kwa msanii/filamu fulani.

Views za you tube zipo na hazina longolongo wala nini, kwa kuanzia:-

My number one...2.7 mil views, Moyo wangu 1.7 mil views, Mbgala 1.4 mil views, Ukimwona Laki 5 views, Nataka kulewa Laki 5 views, Mawazo Laki 5 views.

Mwingine aje na takwimu za Jide.
 
My number one remix, 2.8 mil views, Mdogo mdogo, Laki 4 views.
 
Chibu Dangote ndio msanii wa kwanza kuwa na tu(n)zo zaidi ya 50 kwa hapa tanzania.
 
zavi!kiburi??wewe Jide hana kiburi na media ni hao wenye chuki zao kisa wanataka wanyenyekewe wao tu kwan Mungu.Blog kibao zimemwandika mbona na watu binafsi Sporah show,Dj choka,JOyce kiria,Times Fm N.k
 
Inawezekana sijaona, ila ana kiburi unajua mtu mwenye hekima hata kama ameudhiwa anakaa kimya siyo kuibua maugomvi, na tukubali tukatae hiyo media ndio imechangia kumfikisha hapo alipo, ana hasira sana apunguze akiwa kama msanii hapaswi kuwa hivyo.
Lakini hilo ni tatizo kwa wanawake wenye nyota ya Mapacha (GEMIN) huwa hawakubali kushindwa.
 
go go go go count me in warumi
 
Last edited by a moderator:
My number one remix, 2.8 mil views, Mdogo mdogo, Laki 4 views.
We FYATU mimi nikiangalia hiyo video mara kumi wana hesabika ni viewers wangapi? Acha kujidangaNya na hizo takwimu ni aibu kumpambanisha Jide na mtoto Diamond!
 
Last edited by a moderator:
Msibishane kizamani jamani, Muvi zenye mafanikio huwa zinapimwa kwa mahudhurio ya kutazamwa (box office) na sio maoni ya kila anayejisikia, au kuongozwa tu na mapenzi yake binafsi kwa msanii/filamu fulani.

Views za you tube zipo na hazina longolongo wala nini, kwa kuanzia:-

My number one...2.7 mil views, Moyo wangu 1.7 mil views, Mbgala 1.4 mil views, Ukimwona Laki 5 views, Nataka kulewa Laki 5 views, Mawazo Laki 5 views.

Mwingine aje na takwimu za Jide.

Eh you tube siku izi zimegeuka kuwa tuzo ? Kweli wewe fyatu kabisaaaa
 
Chibu Dangote ndio msanii wa kwanza kuwa na tu(n)zo zaidi ya 50 kwa hapa tanzania.

Nimecheka kwa nguvu sana unajua? Dah u made my day pal, humu mnajua sana kuvunja watu mbavu
 
Inawezekana sijaona, ila ana kiburi unajua mtu mwenye hekima hata kama ameudhiwa anakaa kimya siyo kuibua maugomvi, na tukubali tukatae hiyo media ndio imechangia kumfikisha hapo alipo, ana hasira sana apunguze akiwa kama msanii hapaswi kuwa hivyo.
Lakini hilo ni tatizo kwa wanawake wenye nyota ya Mapacha (GEMIN) huwa hawakubali kushindwa.

Kati ya wasanii ambao hawana mabifu ya ajabu ajabu ni jide mkuu, bifu lake na clouds ni la kimaslahi zaidi sio vinginevyo.

Hao clouds kama wanajua sana kubeba wasanii mbona wameshindwa kumrudisha ray c? Juhud binafsi za jide ndo zimemfikisha apo , ata clouds wangemtangaza dunia nzima kama angekuwa hajui kuimba na hajitumi bas asingefika apo alipo bro though clouds pia imechangia as media
 
Imechangia kama media sawa,lakini binamu unajua Clouds ndio imemtoa Jide? hata kipaji chake ni haohao clouds ndio wamekiinua na hakuna msanii aliyebebwa na clouds kama Jide. Hata kama clouds walimkosea lakini usisahau wema wote kwa kosa moja/mawili.Jide tukubali/tukatae clouds imemlea Jide kisanii. Rayc ni ujinga wake mwenyewe kula unga, na nina hakika Ray c asingeharibikiwa na unga ndio msanii pekee wa kike ambaye angeweza pambana na Jide, sababu enzi hizo ndio alikuwa anampelekesha Jide.
 
Ray c kwa mauno tu kweli alimpelekesha jide , maana bibie nae ana kiuno kigumu kama kinu , ila ndo kashapoteza dira maskin dah sijui anajisikiaje kumuona mwenzie aliyetoka nae mbali kumzidi kimafanikio
 
Binamu usinichekeshe kiuno kama kinu. Ameshapotea hawezi kurudi maana sasa amenenepeana kama tembo.
 
Ray c kwa mauno tu kweli alimpelekesha jide , maana bibie nae ana kiuno kigumu kama kinu , ila ndo kashapoteza dira maskin dah sijui anajisikiaje kumuona mwenzie aliyetoka nae mbali kumzidi kimafanikio

Umeanzaaaa kumpondaa tena kiuno kigumu hahhga
Tuwekee picha akiwa anapokea tuzo
 
Umeanzaaaa kumpondaa tena kiuno kigumu hahhga

Hata kama Nina mahaba nae ila si ukweli ana kiuno kigumu? Namuonaga mwenyew anajitaidig kukikata Lakin wapi mmh kweli mungu akupi kila kitu
 
Back
Top Bottom