Lady Jaydee avunja rekodi ya Tuzo Tanzania nzima (2001 - 2014)

Duuu kumbe ana mashabiki wengi kiasi hiki kenya ,naona alifanya tamasha huko machako!

Niliona ali post fb , anakubalika pia sema ndo hanaga promo za ajabu ajabu , jide sio muongeaj sana yupo vizur kweny matendo , angekuwa ndomo pasingetosha
 
Jide hana mpinzani binamu , yupo alikuwepo na atakuwepo

JIDE JIDE hana lolote yule...mara eti ana pesa nyumba ...ivi ninyi tukiwaita wenye pesa sura mbaya wenu atatoka?sasa amekosa skendo na yupo kimya...na bado atapotea kama wengie....NANI KANUNA????NA HIZO PESA ALIPATA KWA JILI YA UDHURUMATI TU...MI NAYAJUA MENGI......
 
Niliona ali post fb , anakubalika pia sema ndo hanaga promo za ajabu ajabu , jide sio muongeaj sana yupo vizur kweny matendo , angekuwa ndomo pasingetosha

Halafu mambo yake yanafundisha jamaa hata kujituma kwa mwanamke nyimbo zake zinakubalika kila rika na hesgima anavojiweka na jamii ina mweshimu
 
nasoma huu uzi huku nikisikiliza ngoma ya historia ya jide....dada yetu ni komandooo.. respect
 
Wewe hebu kajambe ukalale achana kabisa na Komando binti machozi. Hivi yule domo chapati anakunja kweli?
 
We FYATU mimi nikiangalia hiyo video mara kumi wana hesabika ni viewers wangapi? Acha kujidangaNya na hizo takwimu ni aibu kumpambanisha Jide na mtoto Diamond!

Hata tuzo huwa tunaambiwa piga kura mara nyingi kadri uwezavyo +uchakachuzi....na kama ni rahisi kama mnavyofikiri basi hata hao wasanii husika wangebofya kila kukicha waongeze views.
 
Eh you tube siku izi zimegeuka kuwa tuzo ? Kweli wewe fyatu kabisaaaa

Usinilazimishe kuamini hizo tuzo zenu ambazo hata Mpoki ana uwezo wa kupata, bado naamini hakuna mtu atapoteza muda wake kusikiliza/kuangalia kazi isiyompendeza, tena kwa ridhaa yake bila kushawishiwa kama hizo tuzo.
 
Wewe hebu kajambe ukalale achana kabisa na Komando binti machozi. Hivi yule domo chapati anakunja kweli?
Matola sio bure ni lazima kuwa unapitia kiatu kwa jide: kiatu (chakula kilichobaki au makombo)
mana unajifanya una uchungu zaidi ya mama anayetaka kutotoa....
 
nasoma huu uzi huku nikisikiliza ngoma ya historia ya jide....dada yetu ni komandooo.. respect

hakuna kitu pale kutwa kumfumania GADNER....PENZI halinunuliwi alidhani angemthibiti wapiiiiii!
mwanaume yoyote anayemwacha mkewe kwa mchepuko halafu eti mchepuko unakuwa mke ndoa iyo lazima iwe na mikosi
ndo iyo inayomkuta! UNAIBA MUME WA MWENZIO ukidhani kwa kuwa una pesa ndo mambo yote ONA adhabu MUNGU aliyokupa...hilo ni fundisho kwa WAIBA WAUME WA WENZAO eti kisa wanaweza kuwanunua..CHOZI LA MKE NI SUMU!
 
Halafu mambo yake yanafundisha jamaa hata kujituma kwa mwanamke nyimbo zake zinakubalika kila rika na hesgima anavojiweka na jamii ina mweshimu

umesahau alivyoiba mume wa mtu na alifunga na ndoa ya kanisa akamteka kwa vijisenti mbuzi....ADHABU Anayopata sasa..hata pesa hazimsaidiii!ni huzuni na mawzo...arudishe mume ndo njia itafunguka la sivyo....
 
Samahani lakini huyo MUME KAIBIWAJE LABDA??Unaweza je kumuiba mtu??au unawezaje kuwa na mtu kama yeye hataki... una hasira aisee au wewe ndo uliachwa nini?? Chilax tc just tuzo tu.
 
umesahau alivyoiba mume wa mtu na alifunga na ndoa ya kanisa akamteka kwa vijisenti mbuzi....ADHABU Anayopata sasa..hata pesa hazimsaidiii!ni huzuni na mawzo...arudishe mume ndo njia itafunguka la sivyo....

Jealous much???get a life...loser
 
umesahau alivyoiba mume wa mtu na alifunga na ndoa ya kanisa akamteka kwa vijisenti mbuzi....ADHABU Anayopata sasa..hata pesa hazimsaidiii!ni huzuni na mawzo...arudishe mume ndo njia itafunguka la sivyo....

Hayo ni maisha binafsi mbona, mtu mzima aibiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…