Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Mimi naamini kama ungekuwa unasema kweli wala usinge tumia nguvu nyingi kutuaminisha Maana tungeona wenyewe kwa macho na hasingekuwa siri!Najua unajua nikisema mtu kaibiwa ....hapo nyuma GADNER hakuna na kipato kama cha JIDE bahati nzuri wakawa ofisi moja...basi yule bibi ni vijizawadi kumpa gari aendeshe na mambo yote ya vishawishi huku akijua kaoa!...sasa wanaume walivyo dhaifu ndo ukakuta kazama...na unajua yule bwana hana mapenzi ya dhati ndo mana kutwa na visichana vingine na yule dada umri umekwenda ivyo anakufa kisabuni...afanye nini..sasa anaanza mara ana majini mahaba yananiandama usiku mara nini ninyi mnaompenda mshaurinii...mimi hapa sijamaanisha maisha ya shida ila ni zile Haja za moyo hapati...
Mimi naamini G yuko na Jide sababu anampenda kwa dhati na kama Ingekuwa sababu ni pesa basi wangeisha achana maana Jide si mwanamke pekee mwenye pesa Dar au Tanzania bali wapi wengi sana!
Na hakuna mahusiano parfect hapa duniani!
Kwakweli mimi ntaendelea kumsifu G kwa upendo wake kwa Jide maana kama si upendo pengine wasinge kuwa pamoja!
Hivi kwanini mnachukia mkiona watu wamedumu pamoja?