Lady Jaydee avunja rekodi ya Tuzo Tanzania nzima (2001 - 2014)

umesahau alivyoiba mume wa mtu na alifunga na ndoa ya kanisa akamteka kwa vijisenti mbuzi....ADHABU Anayopata sasa..hata pesa hazimsaidiii!ni huzuni na mawzo...arudishe mume ndo njia itafunguka la sivyo....

aliye msafi awe wa kwanza kumrushia jiwe jide
yaelekea humpendi kweli
pole sana!
 
umeona eeh...
kwanza gadna na mkewe hawakuwa wanaelewana ya jide
jide kwa sababu maarufu
mishipa imemtoka dada kashupalia kuibiwa bwana

Yaani kamshupalia jide na sijui alomwambia jide ana maisha ya shida nani...ataishia kumchukia mwenzie she's winning
 
Achana nae huyo yupo period

Gossipcopwarumi najua uhtukia na mdomo mchafu lakini mimi huniwezi labda ukamfukue......yako!!!
hata mseme nini Jide hana jipya bila skendo hajavuma unadhani ni akili hiyo...anajishtukia sana....yaani hata aende wapilaana hiyo itamuandama dawa peke yake ni kumrudisha mume wa mtu la sivyo atazunguka kwa waganga na hospitali zote za DUNIA....na kwa kuwa ni mbishi basi ndo imetoka tika mwaka wa kwanza nilimshauri alikataa...sasa kazi kwake.
 

kwani asipozaa ye atakua wa kwanza kua mgumba?
 

Eeh geniveros ebu njoo umuone huyu msukule wa gwajima sijui katokea wapi eti Jide anategemea scandal, ivi anajielewa huyu? Ulishawahi kumuona jide ovyo kwenye magazeti na scandal za ajabu kama huyo bwana ako ndomo? Wewe hujui chochote kuhusu wasanii unaowazungumzia, ebu acha kupoteza mda wangu

Halafu unawashwa eeh? Unataka gadner akukune kama anavyowakunaga malaya wenzio wanaojipeleka pale nyumban lounge? Sasa mtagongwa sana na kutobolewa uko nyuma badae mnaachwa gadner anarudi kimar kwa mke wako , mbona mtafurahi na roho yenu. Na gadner alembi mkipeleka vipur vyenu anabandua tu
 
Last edited by a moderator:
Samahani lakini huyo MUME KAIBIWAJE LABDA??Unaweza je kumuiba mtu??au unawezaje kuwa na mtu kama yeye hataki... una hasira aisee au wewe ndo uliachwa nini?? Chilax tc just tuzo tu.

Najua unajua nikisema mtu kaibiwa ....hapo nyuma GADNER hakuna na kipato kama cha JIDE bahati nzuri wakawa ofisi moja...basi yule bibi ni vijizawadi kumpa gari aendeshe na mambo yote ya vishawishi huku akijua kaoa!...sasa wanaume walivyo dhaifu ndo ukakuta kazama...na unajua yule bwana hana mapenzi ya dhati ndo mana kutwa na visichana vingine na yule dada umri umekwenda ivyo anakufa kisabuni...afanye nini..sasa anaanza mara ana majini mahaba yananiandama usiku mara nini ninyi mnaompenda mshaurinii...mimi hapa sijamaanisha maisha ya shida ila ni zile Haja za moyo hapati...
 
Hivi huyo Mume unaye muongelea ni Gadner? Sasa kama si wewe umejuaje kuwa bado Gadner ana hitajika na X wake? Halaf umesha wai Ona wapi Mwanaume anaoa mtu hasiye mpenda? Halaf unaonekana kama Unatoa laana kwa Jide wakati kila mtu hapa anajua Yuko fine na muziki wake unafanya vyema na watu kwenye show Zake wana kwenda!
 

usipaniki mzazi jibu hoja eti ana heshima kwenye jamii ya kuiba waume za watu...ona mikosi inamuandama....atashika pesa tu lakini vingine atavisikia redioni na kutizama picha ha ha haa ha!
 

Kama aligonga akakudanganya atakuoa ndo imekula kwako, mume wa jide yule, na sasa ivi yupo kwa mkewe anakula bata, nyie kama mkiwashwa uko nyuma shemej gadner hana tatizo na mtu atawasugua tu ila akishawakojolea anarud kimara kwa mkewe, nyie hangaikeni tu kama kuku aliyepotea kwenye banda lake
 
wewe YULE ALIOA TENA KANISANI ndo akatokea msukule wenu akamuiba na ndumba juu...ndo mana alipozinduka ana haha kutoka na huyu mara yule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…