Lady Jaydee avunja rekodi ya Tuzo Tanzania nzima (2001 - 2014)

Lady Jaydee avunja rekodi ya Tuzo Tanzania nzima (2001 - 2014)

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Imethibitishwa kuwa mwamuziki LADY JAYDEE ndiye msanii pekee nchini( kwa wasanii wa kike na wakiume) anayeongoza kumiliki tuzo nyingi zaidi ndani na nje ya nchi.

AWARDS WON-2001 to 2014
2001- M-nets where u @ best female artist in Tanzania

2002- Tanzania music awards-best female artist,best video of the year "machozi"

2003- channel 0 music video awards-best video in east Africa "machozi"
-2003- Tanzania youth achievement award for the Best r n b single "usiuseme moyo"

2004- awarded best r n b album at Tanzania music awards

2005- channel 0 music video awards best collaboration African video "makini "

2005- Chanel 0 video awards- best video in east Africa " distance"

2005- BBC radio awards song of the year "distance"

2006- best female artist from Tanzania at the Uganda pearl of Africa music awards

2007- best female artist from Tanzania from Tanzania at Uganda pearl of Africa music awards

2008- best female artist from Tanzania at Uganda pearl of Africa music awards

2009-Kenya kisima music awads- song of the year "Anitha"

2009- Tanzania music awards - song of the year "Anitha"

2010- Best female artist from Tanzania at Uganda pearl of Africa music awards

2010- Tanzania kil awards- best female artist of the year

2011- best female artist from Tanzania at Uganda pearl of Africa music awards

2011- Tanzania music awards - female artist of the year

2011- Uganda Divas awards - best female artist from Tanzania

2011- Tanzania music Awards - best east African song " Nitafanya with Kidum

2012 - Tanzania kili music awards best female vocalist

2013- Tanzania music awards - female artist of the year

2014- Tanzania music awards - best female Artist of the year

2014 - Tuzo za watu- msanii Wa kike anayependwa zaidi

2014- Best female artist from Tanzania at AFRIMMA awards.

WRITTEN AND PREPARED BY warumi-TEAM ANACONDA.

Sisi hatunaga maneno mengi wala kelele , apa ni kazi tu na hatuwezi kuwa na ulimbukeni Wa kupiga kelele ovyo mitandaoni kwa kuwa tuna uzoefu Wa kutosha Wa kupokea tuzo ndani na nje ya nchi tokea mwanzon mwaka 2001 mpaka Jana kwenye AFRIMMA AWARDS.

TEAM ANACONDA IS LEADING OTHERS FOLLOW.
 
Last edited by a moderator:
Nasubir tu bloggers mkopi maana najua tu mta paste soon
 
Leo humu hapatoshiiiii ni JIDE,DAIMOND,ALLY K
Lei ntacheka mnoooo wapiii team domooo
 
Binafsi namkubali jide kwa jinsi anavyojitambua na anavyojichukulia..
 
Bado @hod kuja kumsifia boss wake leooo mpaka siku iishee sijuii
 
Congratulation Jide we kweli mwanamke wa kishoka i like your spirit keep it up sister unajitambua na kuonyesha u strong wako since 2001 hongera zake kaza but wewe ni iron lady miaka elfu kumi
 
Hongera kwa kupata tuzo, ila hakikosa msianze kusingizia watu mara Clouds, Oh Diamond. Msanii akifanya vizuri anastahili pongezi , Jaydee anatakiwa apunguze kiburi kwa vyombo vya habari ,lasivyo naliona anguko lake .Nimepitia blog nyingi naona wanaelezea Dia kutwaa tuzo za AFRIMMA lakini Jaydee hawamsemi WHY??? ajitahidi kurekebisha ktk tasnia ya habari .
 
Aaaa unajua watu domo kawakaa mdomoniii mnooo
 
Hongera kwa kupata tuzo, ila hakikosa msianze kusingizia watu mara Clouds, Oh Diamond. Msanii akifanya vizuri anastahili pongezi , Jaydee anatakiwa apunguze kiburi kwa vyombo vya habari ,lasivyo naliona anguko lake .Nimepitia blog nyingi naona wanaelezea Dia kutwaa tuzo za AFRIMMA lakini Jaydee hawamsemi WHY??? ajitahidi kurekebisha ktk tasnia ya habari .

Unataka blogs waseme nini sasa wakat afrimma awards kashapata? Waseme wasiseme tuzo kapata , tatizo jide hana ulimbukeni kaanza kuchukua tuzo toka 2001 had Jana , sasa ajitangaze nini wakat balaa lake linajulikana east Africa nzima?

Kuhusu tabia sijui jeuri hayo ni personal stuffs za jide tumwachie mwenyew, sisi cha muhimu anatupa raha za haja mengine hayatuhusu

Halafu mbona ndugu yako anajiongeza hivyo? Hizo tuzo mbili anazodai kapat zimetokea wapi ? Mmh ndomo anayaweza kweli, ila ndo hvyo jide jembe miaka miaaa
 
Binamu leo wapiii kuserebukaa nyumbani kwa jide ninii???

Kama kupata tuzo tungekuwa tunafanya sherehe bas team anaconda tungevunja rekodi maana toka 2001 had Jana si mchezo , huyo ndomo tuzo kaanza kupat 2010 sasa wanatak kumfananisha na komando jide si matusi hayo?
 
Unataka blogs waseme nini sasa wakat afrimma awards kashapata? Waseme wasiseme tuzo kapata , tatizo jide hana ulimbukeni kaanza kuchukua tuzo toka 2001 had Jana , sasa ajitangaze nini wakat balaa lake linajulikana east Africa nzima?

Kuhusu tabia sijui jeuri hayo ni personal stuffs za jide tumwachie mwenyew, sisi cha muhimu anatupa raha za haja mengine hayatuhusu

Halafu mbona ndugu yako anajiongeza hivyo? Hizo tuzo mbili anazodai kapat zimetokea wapi ? Mmh ndomo anayaweza kweli, ila ndo hvyo jide jembe miaka miaaa

Jide ameshazoea kubeba tuzo,acha washamba watambe,,ooh kakutana na Akina Nelly sijui wamepiga picha.....ivi safari hii hajapiga mapicha na mastaa jamani???????
 
Jide ameshazoea kubeba tuzo,acha washamba watambe,,ooh kakutana na Akina Nelly sijui wamepiga picha.....ivi safari hii hajapiga mapicha na mastaa jamani???????

Safarii hii kapiga picha na mimi tu teh teh...
 
Back
Top Bottom