kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Cloudz ni genge la wahuni. Soon hiyo radio itaanza kuporomoka kama ilivyoanza fiesta.
Mbona kaongea tena kimafumbo kama yeye kweli ni mwanaume na ameamua kufunguka?!
Sie yeye tuu!20% pia!na kwani lady ana nyimbo moja pekee?mbona anazo nyingi nzuri za zamani na nimezimiss sana!Na redio ndo hiyo ina miziki yake hata kama mibovu wao kuipiga tuu na kuisifu!huenda kweli wanahongwa kwani mingine inaboa sana ila unakuta kila kipindi inapigwa mf Nataka kulewa!hakuna ubunifu mambo ya ovyo ovyo tu!Tatizo letu wabongo ni kukurupuka kusiko na kufikiria... kwa masikio yangu nimeusikia wimbo huu ukipigwa mara kadhaa kwenye kituo hicho halikadhalika niliusikia ukiwa introduced kwenye radio hiyo kwenye kipindi cha xxl na pia nimeisikia mara kadhaa kwenye vipindi tofauti... sitetei may be kama kuacha kuipiga wawe wameacha kuipiga hivi karibuni... ila akisema wimbo wake hauchezwi ni muongo... then inaonesha dhahiri wengi wanaocomment katika hili si wasikilizaji wa radio ila ni ushabiki ndio umetawala.. ni kweli wana matatizo ila si katika hili... binti ana jengine sio suala la wimbo kutokuchezwa hiyo ni sababu ya kujikusanyia idadi ya wafata mkumbo na ushabiki.
Tatizo letu wabongo ni kukurupuka kusiko na kufikiria... kwa masikio yangu nimeusikia wimbo huu ukipigwa mara kadhaa kwenye kituo hicho halikadhalika niliusikia ukiwa introduced kwenye radio hiyo kwenye kipindi cha xxl na pia nimeisikia mara kadhaa kwenye vipindi tofauti... sitetei may be kama kuacha kuipiga wawe wameacha kuipiga hivi karibuni... ila akisema wimbo wake hauchezwi ni muongo... then inaonesha dhahiri wengi wanaocomment katika hili si wasikilizaji wa radio ila ni ushabiki ndio umetawala.. ni kweli wana matatizo ila si katika hili... binti ana jengine sio suala la wimbo kutokuchezwa hiyo ni sababu ya kujikusanyia idadi ya wafata mkumbo na ushabiki.
Sugu akiongea mnasema muhuni, aya sasa clouds wanamletea lady jay dee beef ya kitoto kisa na mkasa wanaitamani ile program ya Diary of Lady jay dee iwe inarushwa clouds badala ya eatv.
Mutahaba anataka kila sanaa nzuri iwe chini ya THT ili awafanyie unyonyaji wake kama anaowafanyia kina barnaba na linah.
Kama vipi Vinega featuring Lady Jay dee kwenye ANTIVIRUS volume 3 harakati ziendelee.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
jaydee embu atulie ajenge familia huu muziki ss tayari magharibi giza hiilo..Coz yy kapewa promo sn muda wake ss awaachie na wengine,Mmewe kila siku alikuwa anapiga nyimbo zake,huyo bazazi Ruge kambeba sn km msanii na kumgonga juu leo kadoda anatafuta wakufa nae...na redio zipo nyingi km mie clouds inaniboa niko zangu Choice..Hamieni Kwingine Jama.
kweli kabisa, Tatizo mijitu ina Comment kwa hisia kwanza sio watu wa Music hata ukiwauliza hiyo nyimbo hawajawah kuiskia Popote, ila kwa kuwa anawasilibia Clouds watu wameunga tela, kama kweli yeye ni Fighter mbona hakuunga mkono wakati wenzie wakilalamika wakati huo bwana wake Gadner yupo pale nae si alikuwa ndo zake! Nyie wakurupukaj mnashusha hadhi ya Jukwaa sio kila kitu kujifanya Master!Tatizo letu wabongo ni kukurupuka kusiko na kufikiria... kwa masikio yangu nimeusikia wimbo huu ukipigwa mara kadhaa kwenye kituo hicho halikadhalika niliusikia ukiwa introduced kwenye radio hiyo kwenye kipindi cha xxl na pia nimeisikia mara kadhaa kwenye vipindi tofauti... sitetei may be kama kuacha kuipiga wawe wameacha kuipiga hivi karibuni... ila akisema wimbo wake hauchezwi ni muongo... then inaonesha dhahiri wengi wanaocomment katika hili si wasikilizaji wa radio ila ni ushabiki ndio umetawala.. ni kweli wana matatizo ila si katika hili... binti ana jengine sio suala la wimbo kutokuchezwa hiyo ni sababu ya kujikusanyia idadi ya wafata mkumbo na ushabiki.
umeonaee Gadner kaosha sana Rungu kwa mdada enzi zile Gadner yupo Dubai anapanga bidhaa Al ouroubar super marketduh Ruge mtu poa sana,alimbeba na ndizi alimpatia but still hana shukran
Hii radio inajifanya ina miungu watu sana. Eti peoples station wakati ina ubaguzi. Mfyuuu.