Kuna maswali mengi yana nisumbua kuhusu ili swala la lady jaydee na CLOUDZ FM
1.lady jayd anamexhatoa nyimbo kibao sana hapa Tanzania na zimetamba sana hata kwenye radio nyingne,na kuna kipndi hzo nymbo zake cloudz zilikua hazpigwi sana lakin hujawai kulalamika why iwe hii joto hasira???
2..nyimbo ni nzuri na inapigwa sana kwenye vituo vingne mfano EA RADIO...Je jaydee unataka nini cloudz fm au una draw attention ya mashabiki??
3.basi kama kuonewa jaydèe kaanza kuonewa kitambo coz hata cjawai kumsikia kapewa shavu hata kwenye fiesta,mbona ilo hujaxema??
4.kuna uhusiano wowote kati ya kutopewa promo kwenye joto hasira na kuondoka kwa gadner cloudz fm?
6.unapo walaumu cloudz pekee yake una hashiria cloudz ndio radio kubwa tz.japo weng hawataki