Lady JayDee Ft Spicy Together Remix | New Music 2016

Wengine wanakimbilia south kuficha ubovu wao wa muzili jide is one woman army
 
Hapa nalia kwa utamu anaotupa jide, mwanamke anajua Yule janani, mungu shahidi
 
You are always on point queen ariana.

Yaan kama kuna watu nalengwa na matukio, nadhani saa nyingine
'Mapenzi ni utoto' hata uwe mkubwa vipi kuna mambo flan flan hivi ya kitoto utayafanya
huu anaoufanya jide ni utoto, na kupaparika
mwanammke hatakiwi kupaparika hivo kila mtu akajua kwamba anakomoa watu fulani!!!
vitu vingine hivi havinaga haja kabisa kuvifanya kwenye media!
ilihali ni mtu mzima unaejitambua!
 
Jiangalie, The bold atakuwa ametumia style za wale majambazi anawaandikaga.
[emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji23] usitoe siri sasa Mkuu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wallah nakubaliana na wewe.
Huyu kijana ni 'jambazi' [emoji6]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tena jambazi haswaaaaaaa!! Yani jinsi nilivyouiba huo moyo, Cooper mwenyewe anasubiri..
 
huu anaoufanya jide ni utoto, na kupaparika
mwanammke hatakiwi kupaparika hivo kila mtu akajua kwamba anakomoa watu fulani!!!
vitu vingine hivi havinaga haja kabisa kuvifanya kwenye media!
ilihali ni mtu mzima unaejitambua!
Nikiongeza sasa ntaharibu una kitu kinaitwa intelligence.
Huu ujumbe nta ufoward kwa jide
 
You are always on point queen ariana.

Yaan kama kuna watu nalengwa na matukio, nadhani saa nyingine
'Mapenzi ni utoto' hata uwe mkubwa vipi kuna mambo flan flan hivi ya kitoto utayafanya
Wenye mlengo wa kushoto hamkosekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…