warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Umeona eeh?Nyimbo iko poa sana.
Lady jaydee ni legend, hakunaga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eeh?Nyimbo iko poa sana.
Lady jaydee ni legend, hakunaga
Binamu video umeiona?Toka lini jide akatuangusha binamu? Yule wamuache tu kipaji kutoka moyoni
No kweli binamu, shemela wa taifa huyoBinamu video umeiona?
Sio kwa mahaba yale....hivi ni kweli huyu ndiye shemela?
Aiseee wametisha sana.
huu anaoufanya jide ni utoto, na kupaparikaYou are always on point queen ariana.
Yaan kama kuna watu nalengwa na matukio, nadhani saa nyingine
'Mapenzi ni utoto' hata uwe mkubwa vipi kuna mambo flan flan hivi ya kitoto utayafanya
[emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji23] usitoe siri sasa Mkuu..Jiangalie, The bold atakuwa ametumia style za wale majambazi anawaandikaga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wallah nakubaliana na wewe.
Huyu kijana ni 'jambazi' [emoji6]
[emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji23] usitoe siri sasa Mkuu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tena jambazi haswaaaaaaa!! Yani jinsi nilivyouiba huo moyo, Cooper mwenyewe anasubiri..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu ndio maana huwa nakumiss ujue?Hapa nalia kwa utamu anaotupa jide, mwanamke anajua Yule janani, mungu shahidi
Nikiongeza sasa ntaharibu una kitu kinaitwa intelligence.huu anaoufanya jide ni utoto, na kupaparika
mwanammke hatakiwi kupaparika hivo kila mtu akajua kwamba anakomoa watu fulani!!!
vitu vingine hivi havinaga haja kabisa kuvifanya kwenye media!
ilihali ni mtu mzima unaejitambua!
khaaa! hakika jide mwanamke wa shokaShukraan mkuu,ngoja niicheki.
aisee huyu mwanamke hatari sanaHapa nalia kwa utamu anaotupa jide, mwanamke anajua Yule janani, mungu shahidi
Wenye mlengo wa kushoto hamkosekaniYou are always on point queen ariana.
Yaan kama kuna watu nalengwa na matukio, nadhani saa nyingine
'Mapenzi ni utoto' hata uwe mkubwa vipi kuna mambo flan flan hivi ya kitoto utayafanya
I hate that[emoji19] [emoji19] [emoji19]Mkojozaji mpya amekuja kwa kasi kweli