Lady JayDee Ft Spicy Together Remix | New Music 2016

huu anaoufanya jide ni utoto, na kupaparika
mwanammke hatakiwi kupaparika hivo kila mtu akajua kwamba anakomoa watu fulani!!!
vitu vingine hivi havinaga haja kabisa kuvifanya kwenye media!
ilihali ni mtu mzima unaejitambua!
Hee just give her a break, muache afanye kitu roho inapenda ana Uhuru wa kufanya anachopenda na pia kateseka almost 15 years .. Muacheni jamani khaa!! Wabongo mpoje cjui
 
Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa couple wapya in the town nawe utoe maoni yako unauonaje wimbo huu. Wamefanya vizuri au bado hawaridhishi.

Zomboko mimi sijona content ya mada ila natolea macho avatar yako naomba ubadilishe kwa kweli maana sio kwa kurusha roho huku
 
Atakuwa anaugulia tu, sio kwa mahaba hayo ila gardener anaonekana hakuwa romantic jide karelax Kabisa kwa spicy
Yaani we acha tu...halafu huyu mnigeria anaonekana ana mapenzi ya dhati na Comandoo!

Mi Jide ananiacha hoi anavyojinyonga nyonga ka Tasi baharini, yaani kama kuna mtu anamuoneshea!

Gardner a.k.a Marioo, mkojozaji anajuta now
 
huu anaoufanya jide ni utoto, na kupaparika
mwanammke hatakiwi kupaparika hivo kila mtu akajua kwamba anakomoa watu fulani!!!
vitu vingine hivi havinaga haja kabisa kuvifanya kwenye media!
ilihali ni mtu mzima unaejitambua!
Wivu huo binamu
 
Sijaupenda binafsi. Ndi ndi ndi ulikua bora kuliko huu. Labda sijui kizungu.
 
Yaani we acha tu...halafu huyu mnigeria anaonekana ana mapenzi ya dhati na Comandoo!

Mi Jide ananiacha hoi anavyojinyonga nyonga ka Tasi baharini, yaani kama kuna mtu anamuoneshea!

Gardner a.k.a Marioo, mkojozaji anajuta now
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakwambia sijui akiangalia anajiskiaje mtu ambae umekaa nae 15 years kama mwili mmoja Mara unashuhudia mahaba Niue na mwanaume mwenzio inauma[emoji13] [emoji13] ila kumpenda staa Kazi sana
 
Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa couple wapya in the town nawe utoe maoni yako unauonaje wimbo huu. Wamefanya vizuri au bado hawaridhishi.

Simpenzi sana wa nyimbo zake hasa za siku hizi. Lakini huuu ni mzuri saaaana kwa kweli! Big up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…