me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Hee just give her a break, muache afanye kitu roho inapenda ana Uhuru wa kufanya anachopenda na pia kateseka almost 15 years .. Muacheni jamani khaa!! Wabongo mpoje cjuihuu anaoufanya jide ni utoto, na kupaparika
mwanammke hatakiwi kupaparika hivo kila mtu akajua kwamba anakomoa watu fulani!!!
vitu vingine hivi havinaga haja kabisa kuvifanya kwenye media!
ilihali ni mtu mzima unaejitambua!