Lady Jaydee Haikufaa uimbe uliyoimba ndani ya Ndindindi

Lady Jaydee Haikufaa uimbe uliyoimba ndani ya Ndindindi

Hua naamini species ya mwanamke ni ile ile Jide atakwepa vipi nature ya wanawake wenzie, ameimba non-sense hasa pale wimbo unaposema kua amembwaga jamaa mirembe inakera sana kuishi na mtu kisha unamtungia wimbo kisa mmeachana tena kwa kuhiyari wenyewe
 
mtoa uzi nawe ndi ndi acha kukosoa kazi mardadi kabisa ashazigonga kibao tu wanaume kama mabinti yahaya mbona haikua haikumhusu mtu.

Ukirusha jiwe gizani ukiskia mamaaa ujue limempata muhusika
 
Back
Top Bottom