Hua naamini species ya mwanamke ni ile ile Jide atakwepa vipi nature ya wanawake wenzie, ameimba non-sense hasa pale wimbo unaposema kua amembwaga jamaa mirembe inakera sana kuishi na mtu kisha unamtungia wimbo kisa mmeachana tena kwa kuhiyari wenyewe