Lady Jaydee, huu wimbo wako vipi?

Lady Jaydee, huu wimbo wako vipi?

Duuhh! Nna wasiwasi kama sio jide huyu

Huna haja ya kuwa na wasiwasi..

Uliza na Jibu utapewa, Ukitaka uthibitisho pia utapewa..!! Jd ni Mwanamke, mimi ni Mwanaume, Siyo Mwanaume jina, hapana! Mwanaume Jinsia, Nimekamilika kila kitengo, Ukitaka Uthibitisho pm namba yako, niko Boda hapa. Utapata kila unachokihitaji kwa ushahidi wako..

Unajingine.......?

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom