Lady jaydee na misiba ya celebrities wenzie

wajojo

Senior Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
155
Reaction score
83
Sijawahi msikia mwadada huyu kuudhuria kwenye misiba ya ma celebrity wenzie,kuanzia ule wa sharo milionea,kanumba ambaye alikuwa anapenda sana kutembelea nyumban lounge pia sikumsikia wala kumuona kweny msiba wake,inaelekea misiba iliyopita haikumgusa kama huu wa mangwair,nimemsikia leo times akionyesha masikitiko yake kuhus msiba huu,nimeshangaa sana kumbe na yeye anaguswaga na misiba ya wenzie?,binafsi nimeshangaa sana,nasubir kusikia au kumuona kwenye mazishi ya mangwair kwangu mimi itakuwa mara ya kwanza kushuhudia au kusikia akihudhuria msiba.TEAM ANACONDA FOR LIFE,LOVE YOU JIDE....
 
Dah ndugu yang umekosa kazi ya kufanya nani kakuajiri kuangalia watu msibani?
 
Hawa ndio malipyoto unajuaje kama alikuwa nje ya nchi au kwenye mitihani au alikuwa amelazwa watu wenye akili ndogo bhana
 
Ruge hivi una ID ngapi humu?..

Mkuu, umeniwahi tu, yaani hili linyonyaji sijui lina id ngapi tu yaani. Likijisikia kujibu lije lijibu au kama kuna mkameruniwa wake aje hapa alisaidie kujibu libasha lake.
 
Yaani linavyoboa mkuu kidogo Jide kidogo Jide,yaani ngoja tulisubiri tuone maana kero yaaani ni Jide tu!..

Mkuu, umeniwahi tu, yaani hili linyonyaji sijui lina id ngapi tu yaani. Likijisikia kujibu lije lijibu au kama kuna mkameruniwa wake aje hapa alisaidie kujibu libasha lake.
 
kazi kweli unataka akienda aite press conference HABARI MAELEZO,ILI NDIO URIDHIKE.
 
tatizo lenu,itakuwa mnawaona wele wenyekujionyesha kwa mapicha, nafikiri suala la msiba ni suala kijamii kila mtu anahuria anavyoweza na sio suala la kujuionyesha kama wakina Ruge na vibaraka vyao...
 
Toa umbea wako, kila siku kumsakama Jide.
hiizi ni tabia za washikishwa ukuta. Kutwa kufuatilia ya watu
 
na mtatumika sana mwaka huu.....,
Jide Jide sasa akihudhuria msibani inabidi awe anakuja kuripot kwenu
 
Toa umbea wako, kila siku kumsakama Jide.
hiizi ni tabia za washikishwa ukuta. Kutwa kufuatilia ya watu

Jamani msisahau hili jamvi ni kwa ajili ya celebrities, yaani kuwasema vibaya au vizuri. Story yoyote kama ni ya kweli hapa ndiyo mahali pake. Mimi nadhani anayekuja kumsema Dr. Slaa au Prf. Lipumba humu ndiyo anakuwa kaingia choo cha kike. Mbona waliotoa habari za Klyn kuzaa na jizee la umri wa babu yake hamkuwaita wambea?
 
Ngoja nisaidie kujibu kwani kuuliza sio ujinga na nimeona wadau wameuchuna.

Actually sio kwamba Dada amebadili msimamo kuhusu misiba, hilo naomba mashabiki wetu muelewe. Kama mambo yangekuwa bado kwenye mstari mngeendelea kumsikia tu kwenye bomba na si kukutana naye misibani.Kinachotokea hapa ni kwamba Dada sasa amejiunga rasmi kwenye harakati za "pambana na clouds" zilizoasisiwa na........ok nadhani wote mnamfahamu. Baada ya kugundua kuwa hawa clouds wamekuwa na mtindo wa kutumia fursa ikiwa ni pamoja na kufanya coverage kwenye misiba mbalimbali wa wasanii maarufu (nimeambiwa hiki chombo kimesajiliwa maalumu kwa ajili ya mambo yanayohusu burudani na wasanii), Dada kwa ushauri makini kutoka kwa mwanaharakati mkereketwa wa haki za wasanii (lakini sio wa kiwango cha Diamond) mheshimiwa Mista Mbili, Dada alilazimika kuwa mstari wa mbele mara tu zilipokuja taarifa kuwa Mwanamuziki Ngwair ameaga dunia, Dada aliwasiliana na ma grass na kwa mwendo wa kasi wakawahi leaders na kuitisha kikao na kuteua kamati (maalumu ili kuidhibiti clouds). sasa maajabu yaliyotokea ni kwamba wakati wanateua kamati kwa maelekezo ya karibu ya mista mbili wakamsikia Ayo anaongea akiwa S.A.....Dada, Ma grass, Profesa na wanaharakati wengine kwa pamoja walijikuta wanasema...SHIT....
 

Waambie wambea wakubwa hao
 
Mbona gari yap machozi band ilibeba wary kwenda moro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…