Sijawahi msikia mwadada huyu kuudhuria kwenye misiba ya ma celebrity wenzie,kuanzia ule wa sharo milionea,kanumba ambaye alikuwa anapenda sana kutembelea nyumban lounge pia sikumsikia wala kumuona kweny msiba wake,inaelekea misiba iliyopita haikumgusa kama huu wa mangwair,nimemsikia leo times akionyesha masikitiko yake kuhus msiba huu,nimeshangaa sana kumbe na yeye anaguswaga na misiba ya wenzie?,binafsi nimeshangaa sana,nasubir kusikia au kumuona kwenye mazishi ya mangwair kwangu mimi itakuwa mara ya kwanza kushuhudia au kusikia akihudhuria msiba.TEAM ANACONDA FOR LIFE,LOVE YOU JIDE....