Lady Jaydee: Naamka tena baada ya siku 30

Jide ameshafeli maisha,nyumbani lounge chali,machozi band chali,ndoa chali,nyumba imeuzwa na benki kabaki kua komando asiweza hata kushika kirungu
 
Gadna sijui alimfanya nini huyu demu ???? maana toka waachane demu hasomeki, kachanganyikiwa kabisa kila kitu kwake kimekuwa hovyo, wakati Gadna yeye anaendelea na maisha yake kama kawaida.
images
jide ana nyumba na range rover mbwa wewe, huyo gadner ana nini mjin? acha kuandika usenge kwa vitu ambavyo huvijui
 
Leo niko vizuri sijisikii kutukana kabisa, asante sana kwa kunitukana bila kosa.
 
Hana lolote kila jambo lina mwanzo na mwisho wake....kiburi,majivuno,matusi na dharau ndo vimemfikisha hapo alipo kama umewahi kwenda nyumbani lounge enzi hizo utakubaliana na mimi....
 
Mkongwe wa muziki wa bongo fleva Lady Jaydee ametangaza rasmi kurudi tena kwenye muziki baada ya ukimya wa muda kidogo kwenye muziki. Lady Jaydee ameweka wazi ujio wake mpya kwenye muziki baada ya siku 30 kuanzia leo.

Wiki kadhaa zilizopita Lady Jaydee aliwahi kuwaomba wapenzi wa muziki wake kuwa wavumilivu na kuwataka wasubiri kwani kwa kipindi hicho alikiri wazi kuwa hana kitu cha kuimba wala hakuwa na mizuka ya kuimba, kutokana na mambo yake ya hapa na pale na kuwataka wapenzi wake kwenye muziki kudumisha amani.

“Karibu tu lakini sina lolote kwa sasa, sina kabisa na sitakuwa nalo kwa kipindi kirefu sana, yaani sina, sina, sina. wapenzi huvuta subira mashabiki huhama hama. Wapenzi vuteni subira na dumisheni amani” Aliandika Lady Jaydee.

Baada ya ukimya na mashabiki kuanza kuhoji juu ya ukimya wake kwenye muziki, mwanadada Lady Jaydee alikuja na kuweka wazi kuwa amekuwa kimya lakini hawezi kufanya lolote sababu hakuwa na jambo la kusema au kuimba kwa wakati huo na kuwataka tena mashabiki na wapenzi wa muziki wake kuwa wavumilivu.

“Ni kweli sijasema ,ni kweli nimekaa kimya lakini siwezi sema tu endapo sina cha kusema mnaweza kuvumilia? Kama ninavyo vumilia? Napumzika tu sina cha kufanya mvumilie nitarudi sema sina cha kusema na siko tayari kusema, nitasema nikiwa tayari kusema” Alimaliza Lady Jaydee.

Lady Jaydee sasa amepata cha kusema na amepata ya kuzungumza na ndio maana ametangaza rasmi ujio wake mpya kwenye muziki wa bongo fleva, Jide amesema kuwa baada ya siku 30 kuanzia leo atasimama tena.
Kila Kitu kina kipindi chake,mbio za vijiti kwasasa kashakabidhi kijiti kwa wengine,his career is over like Mr Nice,feruz,juma nature,tid,q chief, na wengine wengi wanaofanana na yeye....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Afadhali urudi dada. Hawa madogo ulowaacha wanapiga makelele tu mradi wameonesha jinsi wanavyojua kuremba visura vyao, kuvaa vichupi chupi na kuonesha mapaja alafu tungo zao empty set!
 
Naona watu muziki wanauchukulia simpo sana na hawataki hata kujifunza kupitia historia. Yaani you can easily go and come back na bado ukabaki palepale! Na wanaochukulia poa ni wale ambao hawataki kwa makusudi kuifahamu role ya Gadner kwenye kazi za Jide. Asiyetaka kufahamu roles za watu kama akina Gadner kwenye muziki ajikumbushe role ya Saidi Fella kwa Juma Kassim Nature Kiroboto na kampani yake!!! It's very unfortunately Gadner na Jide walichanganya roles za mapenzi na kazi kwenye kapu moja.
 
Headgirl,queen, legend, komando,anakonda wa bongo fleva anaamka tena kuja kukalia kiti chake Get ready
 
Mkongwe wa muziki wa bongo fleva Lady Jaydee ametangaza rasmi kurudi tena kwenye muziki baada ya ukimya wa muda kidogo kwenye muziki. Lady Jaydee ameweka wazi ujio wake mpya kwenye muziki baada ya siku 30 kuanzia leo.

Wiki kadhaa zilizopita Lady Jaydee aliwahi kuwaomba wapenzi wa muziki wake kuwa wavumilivu na kuwataka wasubiri kwani kwa kipindi hicho alikiri wazi kuwa hana kitu cha kuimba wala hakuwa na mizuka ya kuimba, kutokana na mambo yake ya hapa na pale na kuwataka wapenzi wake kwenye muziki kudumisha amani.

“Karibu tu lakini sina lolote kwa sasa, sina kabisa na sitakuwa nalo kwa kipindi kirefu sana, yaani sina, sina, sina. wapenzi huvuta subira mashabiki huhama hama. Wapenzi vuteni subira na dumisheni amani” Aliandika Lady Jaydee.

Baada ya ukimya na mashabiki kuanza kuhoji juu ya ukimya wake kwenye muziki, mwanadada Lady Jaydee alikuja na kuweka wazi kuwa amekuwa kimya lakini hawezi kufanya lolote sababu hakuwa na jambo la kusema au kuimba kwa wakati huo na kuwataka tena mashabiki na wapenzi wa muziki wake kuwa wavumilivu.

“Ni kweli sijasema ,ni kweli nimekaa kimya lakini siwezi sema tu endapo sina cha kusema mnaweza kuvumilia? Kama ninavyo vumilia? Napumzika tu sina cha kufanya mvumilie nitarudi sema sina cha kusema na siko tayari kusema, nitasema nikiwa tayari kusema” Alimaliza Lady Jaydee.

Lady Jaydee sasa amepata cha kusema na amepata ya kuzungumza na ndio maana ametangaza rasmi ujio wake mpya kwenye muziki wa bongo fleva, Jide amesema kuwa baada ya siku 30 kuanzia leo atasimama tena.
Aufuate Ushauri wa Ney wa Mitego, akatafute Kick kwa Fid (kwa kufanya feat.)
 
Nailazimisha furaha ingawa moyoni nina machozi

Nani wa kunifuta machozi umeondoka umekwenda mbali

I need this jide!

Nimekaa nafikirii baadaye nikagundua kwamba hutorudi tenaaaa sintakuwa na we tena.

Lakini na jipaaaa moyo nione kama ni ndotooo.....................................

Dahhhh huyu Dada anajua kutunga nyimbo lakini ...
 
Nailazimisha furaha ingawa moyoni nina machozi...

Khaaa!!...afrodenzi ndio uniambie sasa ni lini utarudi tuu...
 
Naona watu muziki wanauchukulia simpo sana na hawataki hata kujifunza kupitia historia. Yaani you can easily go and come back na bado ukabaki palepale! Na wanaochukulia poa ni wale ambao hawataki kwa makusudi kuifahamu role ya Gadner kwenye kazi za Jide. Asiyetaka kufahamu roles za watu kama akina Gadner kwenye muziki ajikumbushe role ya Saidi Fella kwa Juma Kassim Nature Kiroboto na kampani yake!!! It's very unfortunately Gadner na Jide walichanganya roles za mapenzi na kazi kwenye kapu moja.
mwambie huyo gadner na yeye aimbe awe kama jide
 
Hovyo wewe usiyefahamu umuhimu wa kila mtu kwenye nafasi yake....!!!
umuhimu amekua Mungu? mxieee kwendeni huko, tuko busy kusubir ujio mpya wa jide, nyie mtajibeba endeleen kusubiri umuhimu wenu
 
bwah! bwah! we si ndo umesema upo busy kusubiri... basi utakuwa busy sana mwaka huu!!
 
Back
Top Bottom