Unajua c kila mtu alitakiwa aalikwe kwneye ile party , ni vile tu kuondoa lawama, kama akina Gigi jaman , shilole na uchebe[emoji23], sio nawadharau, ila gatsby party inakuaga ni sherehe ya matajiri, people of high status , yan millionares ... sasa hii party ya domo wa tandale na misukule wenzie mmh wajaribu tena Mwakan Mwaka huu hapana