"Binti Machozi"Apunguze kulia lia.. Tokea anaanza mziki mpaka Leo
Na ndivyo ilivyo, no way kwamba after ndi ndi ndi kuna mwimbo mpya alafu hali ni baridi kiasi hiki, binafsi ndio naskia hapa kwamba bidada na wimbo mpya.Wallah kama hajamuimba Gardner huo wimbo hauchomoki..
Nammiss stara ata arudie zile zile za zamani jamanii!!jamani wakina stara thomas, yule aliyembaga na banana na wao watoe nyimbo, hizi test za zouk tumezimisipo! Safi jide.
Kiitikio kauaa, duh huyu mwanamke ni shidaWimbo mzuri ila naona kama beat haijakaa sawa
Alafu jide ajitahidi kuimba katika sauti ya chini maana hapa utamu wa sauti yake ndipo ulipo lakini katika huu wimbo ametumia sauti ya juu katika mashairi yake ambayo kwa kiasi chake umepunguza makali ya wimbo....
Kiitikio ndipo sehemu ninayoipenda zaidi...... Alafu arudi kwa man Walter kufanyia nyimbo kama hizi
Anajua mpaka mtu unatamani kulia kwa furaha
Angemshtaki kwa kosa gani?Hivi ile kesi na yule aliyesema kamkojoza imeishia wapi?
Warumi huyu dada kiboko hili Rhumba ni hatari nahisi moyo unakimbia Jide ana hatariYa jide mbovu? Nenda kausikilize tena mkuu, jide huwa hakosei