Lady Jaydee new song 'Sawa na wao' ni shidaaa!!!

Lady Jaydee new song 'Sawa na wao' ni shidaaa!!!

Wimbo mzuri ila naona kama beat haijakaa sawa

Alafu jide ajitahidi kuimba katika sauti ya chini maana hapa utamu wa sauti yake ndipo ulipo lakini katika huu wimbo ametumia sauti ya juu katika mashairi yake ambayo kwa kiasi chake umepunguza makali ya wimbo....

Kiitikio ndipo sehemu ninayoipenda zaidi...... Alafu arudi kwa man Walter kufanyia nyimbo kama hizi
 
Hivi ile kesi na yule aliyesema kamkojoza imeishia wapi?
 
Jide ni mzuri sana. She killed this one too! Huyu dada anajitambua professionally!
 
Wimbo mzuri ila naona kama beat haijakaa sawa

Alafu jide ajitahidi kuimba katika sauti ya chini maana hapa utamu wa sauti yake ndipo ulipo lakini katika huu wimbo ametumia sauti ya juu katika mashairi yake ambayo kwa kiasi chake umepunguza makali ya wimbo....

Kiitikio ndipo sehemu ninayoipenda zaidi...... Alafu arudi kwa man Walter kufanyia nyimbo kama hizi
Kiitikio kauaa, duh huyu mwanamke ni shida
 
Songwriting inawezekana kuwa ni biashara nzuri sana Tanzania kwa sababu usanii ni dili kubwa na kuna wasanii wengi sana lakini hakuna songwriters wanaoijua fani hiyo. Ingawa wasanii wengi wa majukaani na studio ni songwriters wazuri, songwriter siyo lazima naye awe ni msanii wa jukwani au wa studio, na vile vile siyo kila msanii wa jukwani au studio ni songwriter mzuri.
 
Uimbaji wake yupo flat, wimbo unakosa radha na huitaji kuurudia baada ya kuusikia.

Anahitaji kubadilika kwa sababu kizazi chake kinachomuelewa tayari ni watu wazima na siyo wanunuzi wazuri wa kazi za muziki.

Muziki ni vijana wa miaka kati ya 15-30. Hao ndio wakikuelewa utavuna sana pesa.
 
Is it me kwamba napoteza taste of good music or its true that nyimbo ni ya kawaida sana?
 
Back
Top Bottom